Spika wa Bunge letu bwana SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA anatuhuma za kutumia vibaya pesa za umma kwa njia mbali mbali kama vile:
Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=).
Alishindwa kufanya marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.
- SITTA aliwahi kupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila wiki.
- Aliwahi kulazimisha hawara yake wa Hospitali ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa per diem kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( Siku 50). Huo ni Ufisadi mkubwa!
- Aliwahi kuwa na kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye aliiishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote alikuwa akitumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.
- Pia anaye kimada mwingine ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo alikuwa anatumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.
- Vimada wote hao walikuwa wanapata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe bowser la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.
- Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!
- Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku sacrifice kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya Kichina inayosafirisha magogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!
Katika kutaka ukubwa basi amedemand apewe ulinzi sawa na SHEIN alipoambiwa hilo haliwezekani basi alidai apewe escort na magari,mapiki piki na vingora yote kwa ajili yake na kwa gharama za walalahoi
kwa kumalizia tuuu tusisahau kuwa huyu amekuwa kigingi kikubwa when it comes to transparency kwani kamati mabali mbali huyu SITTA amekuwa hataki ripoti zake ziwe kwenye public domain...hivyo hata suala zima la check and balances linakuwa na utata mkubwa sana.
Huyu naye ni fisadi na resignation yake imetokana na presha kubwa baada ya ile listi ya matumizi ya wabunge kuwa LEAKED kwenye JF ya dunia yaani WIKILEAKS...mnaweza kuigoogal
Lakini in a nutshell huyu anatuhumiwa kwa yafuatayo:
Source:
MPs' expenses: the demise of Speaker Michael Martin - Telegraph
Halafu what is it na hawa na MSPIKA na mijumba na ofisi za Kifahari? Maana SAMUEL SITTA ile ofisi yake na ofisi aliyoojenga BALALI zinafukuzana sema ya SITTA imejaa madubwana mengi kama ile ya MARDOFF wa upatu
of course yote kwa hisani ya Tax payers money
Lakini itakuwa si vibaya kujikumbusha huko tulikotoka....
maelezo zaidi kwa hisani ya mzee wa busara
JAMII FORUMS..WHERE WE DARE TALK OPENLY!!