Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

................Nani aliyemuhoji sitta...???

ULICHOKIANDIKA KINAWEZA KIKAWA KWELI AU SIYO............ KINAACHA MASWALI MENGI SANA KWA NAMNA ULIVYOANDIKA................
Ogopa sana maneno haya............. eti, inaaminika, inasemekana, inaoneka, ndivyo ilivuo. HAYA MANENO YAASHIRIA KUKOSA USHAHIDI

Kaka sio kukosa ushahidi ni kwamba watu wamehoji na siku zote baada ya kuhoji ni ushahidi....
Tell him ishu ya nyumba na ofisi za Spika kule TABORA will destroy him naturally and he will never become neither a PM or Pres of this country.. NEVERRRR...

Lakini believe mi hata kitalu cha nyumba ya demu wake sinza kinafahamika...
Wewe subiri ukweli kwenye gazeti moja(well i will PM u) ambalo kuna mwandishi ameamua kumlipua sitta ili aache unafiki wake wa kujifanya anaweza kuliko MAGAMBA wenzake ndani ya Serikali wakati hata Afrika mashariki katuingiza mkenge mambo kibao(moja ya hoja ambayo inafanyiwa uchunguzi)... Vaa uvaliwe lakini usivae ukavaliwa!

Hatuwezi kuongozwa na mtu mnafiki na mlafi wa madaraka kama Samwel Sitta, 1. alianzisha ccj ila baada ya kuahidiwa cheo akaamua kendelea na chama cha magamba(ccm). 2. Ameamua kung'ang'ania nyumba aliyopewa na serikali wakati akiwa spika hadi sasa na kusababisha serikali iingie gharama nyingine zaidi kumgharamikia spika wa sasa (Makinda) nyumba kwasababu tu, yeye hataki kuondoka kwenye nyumba hiyo! Hivyo viongozi wote wanaomuunga mkono huyu Sitta anayeishi kwa Makinda, nadhani hawajawaza na kuamua sawasawa

Rais ni Dr Slaa achana na MAGAMBA

kwangu mimi Sitta is old meat, amekuwa mbunge mara ya kwanza 1970. he is too old, akapumzike tu, anaweza akawa kama bingu wa mutharika.

hiyo number 3 mkuu una uhakika? maana 6 ni mzee wa kanisa letu -- futa kauli tafadhali.
Wake wa njee anao kibao tena wameuwa wakihudumiwa kwa gaharama za bunge. Mathalani gari la bunge lilikuwa likitumika kupeleka maua mkoani Iringa kwa ajili ya graduation ya mmoja wa watoto wake wa mke wa nje anayeishi Kinondoni

Kumbe 6 naye ni mzee wa zipu kama mwenyekiti wake.

Paka pakawa basi kama waswahili wasemavyo.
Ukiwa mdogo unaambiwa nenda kalale mapema wakubwa wabaki macho wakiongea. Basi hii ni aina za stori wakubwa huwa tunaongea wengine wakienda kulala.

Katika hali inayoonekana kama kuangaliana kwa jicho la husudu basi CCJ wamefikia hapo katika harakati zao za kuwania madaraka ndani ya CCM. Katika kikao chao kulitokea tafrani kubwa hasa pale ilipogunduliwa kuwa Sitta ana mpango wa kuwania uraisi. Lakini wajumbe wengine wakaamua kumtolea uvivu kabisa kwa kumweleza kuwa kama ingekuwa sio unafiki basi fisadi namba moja nchini angekuwa yeye SITTA.

Tuhuma zenyewe ni hizi hapa:
<ANGALIZO: MOD ukiitoa hii naomba unifungie na account yangu kwa kuwa sipo tayari kudhalilishwa hapa JF kwa kuibua ufisadi wa mnafiki 6>

1. Inaamika ile nyumba yaani ofisi ya Spika iliyojengwa kule TABORA ilijengwa kwa fedha nyingi tena zenye utata hasa katika malipo na thamani halisi.
Katika jambo la kustajaabisha eti wakahoji ni nani alimpa ruhusa Sitta akajenge ofisi ya Spika Tabora ili hali ofisi za Bunge ziko Mjini Dodoma.

2. Inaaminika kuwa kila mwaka samani za nyumba ya Sitta pale Dodoma ilikuwa zikibadilidhwa kwa gharama ya kutisha na ambayo haikuwahi kukaguliwa na CAG. Watu wengi wamekuwa wakistaajabu haya.. Lakini ukweli huu utajulikana tuu endapo CAG ataruhusiwa kwenda kukagua.

3. Watu wamehoji hasa kuhusu yule mke wa nje wa Sitta pale Sinza. Lakini kuhusu wake za nyngeza za watu si hoja muhimu kwa hiyo sitaweza kujadili umbeya huu badala yake nitajikita zaidi kwenye hoja itakayofuata.

4. Inaaminika kuwa Sitta ana account ya mamilioni ya shilingi nje ya nchi(nchi inajulikana lakini kwenye swala la Benki bado kapuni kwa kuwa data zenyewe hazikuwa wazi). Hii ni hoja mpya kumkuta kiongozi wa tangu za enzi za mwalimu kuweza kuthibitika kuwa na uwizi wa hali ya juu.

5. Tuhuma nyingine nzito na ambao wengine waliita ufisadi ni tabia ya Sitta ya kupenda unafiki. wlimuhoji kwa nini akubali kuwa kiongozi wa serikali wakati Waziri mkuu hayupo na hapohapo aendelee kuiponda serikali. Ufisadi huu kwa mujibu wao ndio unaowaogopesha ukizingatia Sitta has NO any integrity.

6.
7.
8.

nitakuja kuzimalizi umeme ukirudi maana naona kama nimehujumiwa tayari na serikali ya kina Sitta na wasanii wengine.

Mheshimiwa sijakuelea unamaanisha nini????? Haya unayoyasema mbona ni kitu cha kawaida ndani ya Serikali ya CCM na Viongozi wa CCM karibu wote. Utakuwa haujamtendea haki uki m-single out SITTA peke yake.

Mbona kuna bangaruu huko Msoga na vimada kibao tu ukizingatia mshikani hata miaka 6 hajamliza. Viongozi wote ndani ya CCM wameoza ndio na ukiona wanapigana vijembe ujue wanasukumwa na tamaa ya madaraka na ulafi wa rasilimali zetu.

urahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,urahisi...................urahisi???? wewe nawe umetumwa na nani???????

Natunza heshima yangu otherwise ningekutusi vibaya...........

Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA ! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa Bunge ni msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem – Mr Misifa. Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana Naibu Spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye mwenye Bunge? ! Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita Bunge eti ni chombo cha kidemokrasia!

Tumebaini kwamba Sitta amekuwa akijimiminia sifa nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa nafasi yake. Angalia uchafu huu:-

- Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.

- SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila wiki.

- Amekuwa akilazimisha hawara yake wa Hospitali ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa ‘per diem’ kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( Siku 50). Huo ni Ufisadi mkubwa!

- Anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye anaishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.

- Pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa) ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.

- Vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe ‘ bowser’ la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.

- Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!

- Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku – ‘sacrifice’ kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya Kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!

- Nililokupa hapo ni tone tu.

kwa maoni yako bunge la sasa linaongozwa vizuri sana kuliko lilopita sio,mbona hizo tuhuma wahusika walizifanyia kazi na hawakukuta ushahidi,wewe sema unachuki binafsi na sita,yanayotokea sasa hayafuti kazi nzuri aliyoifanya kipindi chake,hivi sasa hakuna bunge ni ushabiki wa maspika na wenyeviti kwa CCM ,Nasikitika kuwa wanazidi kuichimbia CCM kaburi

hivi kuwa na pesa zaidi ya kipato chako ni kosa? Mbona takukuru wamelala basi maana kuna watanzania wengi tu wana mabilioni yao kwenye mabenki humu nchini bila woga wowote..

Hatuwezi kuongozwa na mtu mnafiki na mlafi wa madaraka kama Samwel Sitta, 1. alianzisha ccj ila baada ya kuahidiwa cheo akaamua kendelea na chama cha magamba(ccm). 2. Ameamua kung'ang'ania nyumba aliyopewa na serikali wakati akiwa spika hadi sasa na kusababisha serikali iingie gharama nyingine zaidi kumgharamikia spika wa sasa (Makinda) nyumba kwasababu tu, yeye hataki kuondoka kwenye nyumba hiyo! Hivyo viongozi wote wanaomuunga mkono huyu Sitta anayeishi kwa Makinda, nadhani hawajawaza na kuamua sawasawa

Simuungi mkono Sitta hata kidogo. Lakini suala la kusema Sitta ameng'ang'ania kwenye nyumba ya Spika nashindwa kulielewa na kulikubali. Hivio Sitta anaweza kung'ang'ania na Serikali ikakaa kimya tu na kumwangalia. Basi itakuwa hatuna Serikali hata mimi naweza kung'ang'ania kuwa ni waziri mkuu na ikawa. Hao CCJ wataparurana tu muda si mrefu kwa kuwa kila mtu anataka madaraka.

Paka pakawa basi kama waswahili wasemavyo.
Ukiwa mdogo unaambiwa nenda kalale mapema wakubwa wabaki macho wakiongea. Basi hii ni aina za stori wakubwa huwa tunaongea wengine wakienda kulala.

Katika hali inayoonekana kama kuangaliana kwa jicho la husudu basi CCJ wamefikia hapo katika harakati zao za kuwania madaraka ndani ya CCM. Katika kikao chao kulitokea tafrani kubwa hasa pale ilipogunduliwa kuwa Sitta ana mpango wa kuwania uraisi. Lakini wajumbe wengine wakaamua kumtolea uvivu kabisa kwa kumweleza kuwa kama ingekuwa sio unafiki basi fisadi namba moja nchini angekuwa yeye SITTA.

Tuhuma zenyewe ni hizi hapa:
<ANGALIZO: MOD ukiitoa hii naomba unifungie na account yangu kwa kuwa sipo tayari kudhalilishwa hapa JF kwa kuibua ufisadi wa mnafiki 6>

1. Inaamika ile nyumba yaani ofisi ya Spika iliyojengwa kule TABORA ilijengwa kwa fedha nyingi tena zenye utata hasa katika malipo na thamani halisi.
Katika jambo la kustajaabisha eti wakahoji ni nani alimpa ruhusa Sitta akajenge ofisi ya Spika Tabora ili hali ofisi za Bunge ziko Mjini Dodoma.

2. Inaaminika kuwa kila mwaka samani za nyumba ya Sitta pale Dodoma ilikuwa zikibadilidhwa kwa gharama ya kutisha na ambayo haikuwahi kukaguliwa na CAG. Watu wengi wamekuwa wakistaajabu haya.. Lakini ukweli huu utajulikana tuu endapo CAG ataruhusiwa kwenda kukagua.

3. Watu wamehoji hasa kuhusu yule mke wa nje wa Sitta pale Sinza. Lakini kuhusu wake za nyngeza za watu si hoja muhimu kwa hiyo sitaweza kujadili umbeya huu badala yake nitajikita zaidi kwenye hoja itakayofuata.

4. Inaaminika kuwa Sitta ana account ya mamilioni ya shilingi nje ya nchi(nchi inajulikana lakini kwenye swala la Benki bado kapuni kwa kuwa data zenyewe hazikuwa wazi). Hii ni hoja mpya kumkuta kiongozi wa tangu za enzi za mwalimu kuweza kuthibitika kuwa na uwizi wa hali ya juu.

5. Tuhuma nyingine nzito na ambao wengine waliita ufisadi ni tabia ya Sitta ya kupenda unafiki. wlimuhoji kwa nini akubali kuwa kiongozi wa serikali wakati Waziri mkuu hayupo na hapohapo aendelee kuiponda serikali. Ufisadi huu kwa mujibu wao ndio unaowaogopesha ukizingatia Sitta has NO any integrity.

6.
7.
8.

nitakuja kuzimalizi umeme ukirudi maana naona kama nimehujumiwa tayari na serikali ya kina Sitta na wasanii wengine.

Mkuu, inaonekana ulikuwa na haraka sana kuandika upupu huu, ukiogopa wenzio ofiisini wasiuone, maana ungeaibika. Vitu havina kichwa wala miguu!!! Watakaopoteza muda wao kuijadili thread hii nitawashangaa sana. Kuna msomi mmoja simkumbuki kwa jina alipata kunena "A little knowledge in a variety of subjects makes any fool wise in the midst of fools".

makubwa jamani inahuzunisha na inakatisha tamaa sana sina lakusema lakini Mungu ndie anajua

Na bado anadai wabunge wa Tanzania wanalipwa kidogo kulinganisha na wabunge wa Kenya na hata South africa! anacheza huyu mbona halinganishi kima cha chini cha watanzania na hizo nchi?

Huyu ananuka ufisadi its time to go....

Mnamwonea sana huyu

kosa lake ni nini hasa jamani? ufisadi au wizi?

Back
Top Bottom