ni haki yao kuangalia kama wanapenda.......ok turudi kwenye hoja si kwamba ni tatizo spika kulipiwa hio nyumba tatizo ni kiasi gani na wakati hakuna nyumba ya bei hio masaki ya kuishi familia.....hata hivyo hio ni nyumba ya kukodi na tena spika aliomba nyumba ya serikali na akapewa baada ya kuwa spika kwa nini apangiwe nyingine na ya mwanzo hajarudisha?????????????kwa nini alikaa nyumba ya zamani miaka 3 lakini sasa ndio kaona kuwa haifai si angengoja nyumba mpya wanayomjengea............kuna nyumba ya serikali kule masaki ya ghorofa ambazo wanakaa mawaziri ile ya makongoro mahanga na nyingine ziko tupu mpaka leo,kwa nini asiende kukaa hio kwa muda
Mkuu hapa unaongelea masaki ya msata au masaki ya Dar es salaam peninsular?... Mitaa ile kiwanja kitupu(vichache vilivyobaki) sasa hivi kinauzwa USD 600,0000 na muuzaji hashuki, kununua hekalu la kispika bei ni kati ya 1m -2.5m USD, jiulize kupangisha itakua ngapi.
Wakuu sasa hapana tunamlaumu Sitta as a person au systme inayomruhusu Spika hata ukiwa wewe au mimi kukaa kwenye nyumba ya gharama hiyo. Kuna institutional corruption lazima tuikemee pia. Tatizo hakuna mwenye uwezo na hakuna mechanism ya kupambana na bunge as institution.
Kwa mtazamo wangu Sitta is the one to be blamed. Kwa sababu hata kama position yake inamruhusu kukaa katika nyumba ya 8 million kwa mwezi bado dhamira yake inatakiwa imrudi na yeye aone kama wananchi wangeambiwa wapitishe bajeti yake ya nyumba wangekubali au la! Au dhamira yake pia imekufa ?? Naamini anayo mamlaka ya kukataa such offers unless naye ananufaika na hiyo kodi ya nyumba!
Hapo chakujiuliza hizo bei ni za free market or monopolistic na je haziko inflated kwasababu ya policing mbaya ya maendeleo katika nchi? Hapo nadhani ndo spika anapoingia kama institution kwani hiyo inatoa signal of what is prevailing in terms of our development policies.
Kwa mtizamo wangu hiyo demand iko created na si according to free market policies.
Why?
Angalia masaki inavyotofautiana na Mbagala kwa mfano interms of security, social services na even planning. Labda wengine watasema kwasabu ya fukwe je huko mbagala na mtoni hakuna fukwe? Hakika Spika hazi a role to play in terms of policing lakini kama institution na si kama Sitta personality.
Ukiangalia utagundua hilo ni tatizo la elites na kimfumo maana kuna mambo mengi yamejificha humo ndani na output ndo hizo unrealistic pricing za asset na estates zetu nchini.
Nijukumu lakila mmoja kukataa ufisadi na kabila lote linalohusiana na ufisadi na hili linaanzia kwa wapanga sera na miradi ya maeendeleo. Watu waache mawazo ya 10% To work for the sustainable developement ya nchi yetu kwa ku involve active participation ya majority katika decision making na implementation ya decision hii ita spread whatever income we have as a country to the wider area na kuondoa biases zisizokuwa namaana yeyote ya umasaki, oysterbay, mbezi nakuziacha Mbagala, Yombo, and the like kwaajili ya classes fulani za watu na hivyo pricing kuto reflect bei halisi ya soko.
Wabongo wanapenda umbea sana, jadilini issue sio MTU!
Ni choyo tu wabongo hamna chengine ,mmeimaliza Zanzibar sasa mwageukiana wenyewe kwa wenyewe ,ivi dola 8000 ndio zinawatoa roho ,sasa napata akili kwanini kuna majambazi wengi na vibaka wa simu za mkononi.
Yaani dola alufu nane ndio tayari watu wengine wameanza kuona jamaa anafaidi ? Mnashindwa kufahamu kuwa nchi yetu si masikini ya kumlipa mtu dola hizo na haswa kutokana na cheo chake ,mnaacha mambo muhimu ya kujadili na kutafakari ,mnaenda kumvamia spika ,kweli umasikini kitu kibaya , sijui kama kuna mtu amewahi kushikwa na njaa ya kula na hana matumaini ya kupata mlo ,tabu yake unatamani ukimuona mtu anakula hungojei hata kukaribishwa unatamani umpokonye ule wewe na hapo ndipo walipo baadhi kama tuonavyo humu.
Ni njaa na umasikini wa kuona fulani anapata kingi , kama ni hivyo fanyeni siasa ili muwaondoe na kubadilisha yote hayo ,kwa maana kukaa na kusema mna mabo peke yake haitoshi wala haisaidii chochote ,toka yalikuwa mambo makubwa ya wananchi kuyaona ya ajabu mpaka sasa inaonekana ni nyimbo tu kama nyimbo zingine za kwenye redio au unaweza kufananisha na ze comedy tu,hayana mvuto kabisa ,maana hayasaidii chochote kile.
Fanyeni siasa sio kumuonea mtu kijicho ,sasa ingekuwa wewe ungetaka upunguziwe ? Timeona hapa sijui mbenge gani ameenda kuvamia ,eti wabunge wanalipwa mshahara mkubwa ? Sasa kama mshahara ni mkubwa na yeye unamkereketa basi angekuwa wa mwanzo kuukataa na kumwomba spika ampunguzie ,lakini wapi ,unabaki kupiga mayowe ,mshahara wa wabunge mkubwa huku unaisabu tarehe.
Siasa si mchezo wa kuigiza ni mambo kwa vitendo ,omba upunguziwe,jiuzulu ,wachia ngazi ,hio ndio siasa ,unapoona jambo haliendani na msimamo wako ni lazima uonyeshe kwa vitendo sio unakaa na kupiga makelele tu ,hio sio siasa itakuwa ni uchoyo kwamba kuna wengine nao wanapata fedha pengine baada ya muda kwa akili zao wakakupita kwenye maslahi na wao wakaendeleza zaidi wakakuwacha pale ulipo.
Spika aendelee kupata hiyo hela na mwengine nae pia aendelee ,siku nyie mlioko mstari wa mbele hapa mkifanikiwa kuukwaa utawala wa Nchi tuwaone mkikatakata mishahara yote ya waserikali ,ila msije mkaongeza zaidi ,tutashindwa kuwaelewa.
Unajua unaweza kuwaunapenda kutetea jambo lakini ukawa mjinga kutokana na uwezo wako wa kuelewa........kwa taarifa yako thamani ya kweli ya nyumba ya sitt kwa mwezi ni shillingi millioni tatu na nusu na alioikodisha kwa bunge ni Ruppia investment....na wao sio ya kwao ila wamekodi kwa wakenya na wanakula cha juu zaidi ya million saba,....masaki hakuna nyumba ya familia inayizidi dola elfu 5,Nitajie hio nyumba sio unalopokatu hapa .huu ni wiziMkuu hapa unaongelea masaki ya msata au masaki ya Dar es salaam peninsular?... Mitaa ile kiwanja kitupu(vichache vilivyobaki) sasa hivi kinauzwa USD 600,0000 na muuzaji hashuki, kununua hekalu la kispika bei ni kati ya 1m -2.5m USD, jiulize kupangisha itakua ngapi.
hahaha..hivi mkuu Mwiba Maalim Seif ameacha kupokea mafao ya waziri kiongozi mstaafu kutoka SMZ?