Spika anatengenezewa zengwe la kumuondoa na yeye lilivyo lijinga linajiingiza.
Ni mwanzo tu jamani stay tuned.....
Eeh, lakini kuna kaeconomy of scale, kwamba wanaishi yeye na mkewe ambaye naye angelipiwa kodi, kwa viongozi wazalendo na navyowafahamu hiyo moja wana share.
Mkuu, katika mambo ambayo hutakiwi kuwa sahihi kwa salimia 100 na siyo statistics (ambayo ina kanuni zake na pia kuna mambo mengi ya kukadiria) unaweza kutumia kigezo (base) chochote kujenga hoja ili unachotaka kusema kieleweke. Na kwa hiyo siyo lazima uweke mchanganuo wa kitaalamu ili ueleweke. Natumai hitimsho langu kuwa hiyo pesa ni nyingi sana halina ubishi.=Mkaa Mweupe;530619]Mheshimiwa Dart City,
Unapofanya analysis inatakiwa uwe na base:
Hapa unaongelea fixed and current assets of which they are used in the Trial Balance to get the Financial Status of the said institute.
Kwa kuzingatia hilo basi tuanze na analysis kwa njia ifuatayo:
1. House Rent US$ 8,000 x 12 = US$ 96,000
2. Furniture US$ 200,000
3. Vehicle US$ 300,000
4. Fuel (2200lts x 12 = 26,400 x US$ 1.01) US$ 26,664
Hapa roughly tunasema
investment ni US$ 500,000 x 1,300 = TZS 650m
Annual Expenditure US$ 122,664 x 1,300 = TZS 159.4m
Depreciation ni (US$ 500,000 x 20% x 1,300) = TZS 130m
TZS 289.4m
Hivyo basi bajeti ya Spika kama taasisi ni TZS 400m OC roughly
Maana yake ni kwamba
Matumizi ya 5yrs ni US$ 222,664 x 1,300 = TZS 289.4 x 5 = 1.448bn
GT hivi kufanya hivi bongo kwenye miji yetu, tunahitaji msaada wa pesa za kigeni toka kwa Obama au Brown?
Shida ni kwamba gharama zakufanya kitu kama hichi nakwambia zitakuwa infrated huwezi amini! na hakuna mtu atakaye question maana watatokea wakina alwatan na kusema hili ni la kawaida!🙁
Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia.
Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori.
Hivyobasi akaonelea ampake punda masizi pamoja na utomvu wa minyaa.
Kwa bahati mbaya au nzuri, kitendo hicho kiliwafanya wanyamapori wote kuwa na recognition pamoja na mvuto mkuu kwa kizazi hiko kipya kilichotokana na marembo ya yale madoa ya punda,
Kuanzia hapo, akapewa jina la kumtofautisha kutoka punda na kuitwa PUNDA-MILIA.
Sawa na baadhi ya wanasiasa wenye nia na utu wa uzalendo kama Mh. Samwel Sitta na baadhi majina yakiwa kapuni.
Mengi yatazungumza, na hayajaanza jana, ila penye mchele mwingi, chuya hujitenga, na ukweli daima huonekana.
Best of luck Mh.

Kuanzia hapo, akapewa jina la kumtofautisha kutoka punda na kuwa PUNDA-MILIA.
Sawa na baadhi ya wanasiasa wenye nia na utu wa uzalendo kama Mh. Samwel Sitta na baadhi majina yakiwa kapuni.
Mengi yatazungumza, na hayajaanza jana, ila penye mchele mwingi, chuya hujitenga, na ukweli daima huonekana.
Best of luck Mh.
This is what we know as of today, Speaker Sitta hasn't yet come forward to refute this story. I am hundred percent sure that the speaker has heard about this allegations, so his decision to remain mum says a lot about the legitimacy of this story. Mheshimiwa Spika is not stupid; he knows that millions of shillings are being used to furnish his lavish lifestyle. This is quite contrary to what he has been preaching; fortunately this scandal has been able to expose Spika's hypocrisy.
I am mad with not only the Speaker but also our parliament. The parliament allowed these greedy politicians to squander our resources; Instead, of acting like a watchdog it is in bed with these FISADIS. In western world, they called it taxation without representation.
Bado sijaelewa tatizo hasa ni nini? Ukiondoa kilio cha "nchi maskini".. what is the problem?
a. Ni spika?
b. Ni gharama kubwa? compared to whose na kwanini tuna compare na huyo?
c. Ni Sitta?
d. Ni mkataba wa upangaji?
Point yako ni nzuri lakini ingekuwa vizuri hao TBA wangemiliki hizo nyumba za viongozi na kama ni kuzipangisha zitoke kwao, sio kumuuzia fudenge bei ya kutupa halafu wewe mwenyewe unaenda kuipangisha kwa hiyo market value, na bila competitive biddingMkuu tafadhali!.... Adam Sapi hakuwa anakaa kwenye nyumba ya "kawaida" pale mitaa ya Laibon Oysterbay. Alikua anakaa kwenye jumba lenye hadhi ya uspika ambalo uzauza ya mkapa wakaliuza mpaka lile jumba.
Jiulize kupangisha jumba lilelile la Adam sapi sasa hivi utalipa kiasi gani. I guarantee you kwa mitaa ile na kwa jumba lile, ni not less the 10,000 USD kwa mwezi. (Tuwekee picha ya lile hekalu na utoe address yake).
Nyumba anayokaa chief secretary(bahati hii haikuuzwa, nafikiri Lumbanga alistuka akanunua sehemu ingine) kama tunakubali ni la hadhi ya chief secretary, tujiulize lingekua linapangishwa angelipa kiasi gani? nalo ni mahekalu ya range ya USD 10,000 kwa mwezi(likely zaidi).
Sasa nyumba ya hadhi ya uspika imeuzwa kwa akina sapi, viongozi wengine kama waziri mkuu, na chief secretary wamewekwa kwenye nyumba za hadhi zao. Iweje spika kupangiwa nyumba ambayo haifikii hata ya chief secretary kwa hadhi iwe nongwa!...
Narudia ni stahii ya kazi yake. Kama wewe unavyofurahia kulipiwa likizo, au simu kama stahili ya kazi yako. Uspika unaweza kugombewa na hata wewe ukipenda. Chakurekebisha ni mfumo wa kuidhinisha matumizi, lakini napinga kumfanya scapegoat wa system. Tena selective judgement.
Tuwafanyie hivyo viongozi wote. Hayo majumba wanayokaa waziri mkuu au chief secretary kama serikali ingewaruhusu TBA(Tanzania Building Agency) wapangishe foreign embassies wangeingiza kiasi gani kwa mwezi???... What is the opportunity cost kwa hawa viongozi kukalia yale mahekalu kwenye prime of the prime areas za Oysterbay.