Ni uelewa mdogo wa wazazi au.....????

Kama unampenda huyo binti fanya mpango wa kufomalize uhusiano wenu haraka. Kama huna na wala humtaki, haraka mwekeewewe kizingiti hata kabla ya wazazi (mama) wake. Vyenginevyo utashtukia unatwangwa ya mkeka au kubambikiziwa kichanga kisichokuwa chako. Take care!

Nikisema simpend simaanish kwamba ni m'baya hapana, ila sina hisia za mapenz juu yake, nilikuwa namchukulia kama rafiki angu tu wakawaida nothing else...
 
Binti akija mweleze kuwa wazazi wanahisi unamkamua. Kama vipi rekebisha mazingira kamua mzgo ili usiwape wazazi wake dhambi ya kukusingizia.
 
Binti akija mweleze kuwa wazazi wanahisi unamkamua. Kama vipi rekebisha mazingira kamua mzgo ili usiwape wazazi wake dhambi ya kukusingizia.

Mmh kufanya hvo nafsi yangu itanisuta coz ninie mpnz na nampenda sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom