Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

Ni Tanzania pekee ambapo wasomi wengi wanaaminiwa kuongoza taasisi nyeti kama mifuko ya kijamii etc...lakn ubunifu ni zero...wanaongoza kwa kusema Ulaya wanafanya hivi (copy & paste )...na wanalipwa hela mingi kwa hizo copy and paste zao....eg..FAO la kujitoa
Chunguza vyeti vyao aswaa dar kwenye mashirika ya umma ni full MASUMINI printers Rais anadili na mikoani Dar anawakaushia aibu ilioje
 
Hiyo ya PHD kutoweza kuongea kiingereza si Tanzania pekee..

Maprof wa urusi na china sio wote wanajua english, na hawaoni kama ni shida
Wenzetu wanauzalendo na mafunzo ya lugha yao ila xie wakeleketwa bado hatuez
 
1) Hata almasi zote zinazochimbwa duniani soko kuu ni Ujerumani. Kahawa ya duniani soko kuu ni Uingereza.

Hilo la kwanza, ni ujinga tu kudhani kuwa kwa kuwa unachimba madini basi soko kuu litakuwa kwako.

Ndizi hazilimwi Dar. Lakini mahakama ya ndizi (soko kuu la ndizi) lipo Dar.

Ni ujinga tu umetujaa Watanzania mpaka tunafikia kuwa na fikra za kijinga.
Elewa lengo la mada usikurupuke mkuu.
 
Kuna haka kamsemo " ni Tanzania Pekee a.k.a Only in Tanzania" nimekuwa nikikutana nako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF. Nimetumia muda mrefu kutafakari haka kamsemo na nimegundua kweli ni only in Tanzania kuna mambo mengi yanatokea yakushangaza kama si kutuaibisha watanzania.

Ifuatayo ni sehemu ambazo nimekuta huu msemo ukitumika.

Ni Tanzania pekee Tanzanite inachimbwa lakini soko kuu la Tanzanite ni Kenya na India.

Ni Tanzania pekee mwizi wa mali ya uma anajulikana lakini hachukuliwi hatua yeyote.
b4b3d1b37e190d66c0fad46d3c95f223.jpg

Ni Tanzania pekee mtu ana PHD lakini hawezi ongea kingereza.

Ni Tanzania pekee Mwenyekiti anajiuzuru tena kwa barua na mbwembwe tele kwenye media ila baada ya mwaka anarudi kwa ubabe nakudai na yeye ndiye Mwenyekiti halali.

Ni Tanzania pekee pesa za maafa/rambirambi zinageuka kuwa za lambalamba.

Ni Tanzania pekee Waziri Mkuu anaulizwa swali anajibu Naibu Spika.

Ngoja niishie hapo mengine mtaongeza wenyewe, maana ni Tanzania pekee ukiongea ukweli unaitwa mchochezi.
 
Ni Tanzania pekee tunaweza kuafford kuweka vipindi vya taharabu kwenye terevision ya taifa ila tunashindwa kuweka bunge live.
 
Ndugu kule wanasoma kwa lugha zao lkn tz kiingereza kinatumika kuanzia secondory,so how unafika kuwa proffessor huwez kuongea..ni Tanzania pekee...
Sioni shida coz this PHD person anasoma kiingereza lkn anaishi kiswahili
 
Kuna haka kamsemo " ni Tanzania Pekee a.k.a Only in Tanzania" nimekuwa nikikutana nako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF. Nimetumia muda mrefu kutafakari haka kamsemo na nimegundua kweli ni only in Tanzania kuna mambo mengi yanatokea yakushangaza kama si kutuaibisha watanzania.

Ifuatayo ni sehemu ambazo nimekuta huu msemo ukitumika.

Ni Tanzania pekee Tanzanite inachimbwa lakini soko kuu la Tanzanite ni Kenya na India.

Ni Tanzania pekee mwizi wa mali ya uma anajulikana lakini hachukuliwi hatua yeyote.
b4b3d1b37e190d66c0fad46d3c95f223.jpg

Ni Tanzania pekee mtu ana PHD lakini hawezi ongea kingereza.

Ni Tanzania pekee Mwenyekiti anajiuzuru tena kwa barua na mbwembwe tele kwenye media ila baada ya mwaka anarudi kwa ubabe nakudai na yeye ndiye Mwenyekiti halali.

Ni Tanzania pekee pesa za maafa/rambirambi zinageuka kuwa za lambalamba.

Ni Tanzania pekee Waziri Mkuu anaulizwa swali anajibu Naibu Spika.

Ngoja niishie hapo mengine mtaongeza wenyewe, maana ni Tanzania pekee ukiongea ukweli unaitwa mchochezi.
Ni nchi yenye mazingaombwe
 
Ni Tanzania pekee ambapo
kiangozi wa juu wa chama anatafuna pesa za rambirambi...
kwa kigezo cha kufanyia shughuli za kimaendeleo..
 
Back
Top Bottom