Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

Unamaanisha mkulu alichungulia au aliingia na kikatatasi mpaka akapata PhD??

Ongea vizuri kijana "Mkulu" ndiyo nani au unaamanisha Mustafa "Mkulo"?

"kikatatasi" ndiyo nini? Mie sikielewi kikatatasi wala kikatapono.
 
Unajidai kichwa ngumu sio?? Kuna tetesi pia research yake ali copy na kupest... Au bado unajidai hujui??
 
Ni Tanzania pekee Mwenyekiti wa chama ni form six zero lkn katibu mkuu ni MSOMI KULIKO MAKATIBU WAKUU WOTE DUNIAN

Aisee wewe ni kichwa panzi ,kwani hujui katibu mkuu ndiye mtendaji katika taasisi nyingi kama vyama na mwenyekiti ni kiongozi tu? Sasa ajabu iko wapi mwenyekiti kutokuwa na elimu kubwa kuliko katibu wake. Halafu mtu asiye na elimu hawezi kuendesha biashara na kuwa na mafaniko mithili ya mwenyekiti unayemsema, mtu asiye na elimu hawezi kusimamia chama kwa imara kama huyo unayemlenga. KUNA UTOFAUTI KATI YA KUMALIZA MADARASA MENGI NA ELIMU NDIYO MAANA WEWE NA ELIMU YAKO HAUNA CHOCHOTE CHA MAANA TUKIKULINGANISHA NA HUYO FORM SIX DIV 0. MWISHO WA SIKU ISSUE SI VIDATO BALI PRODUCT YA VIDATO HIVYO KATIKA MAISHA YAKO NA JAMII.
 
Naipenda nchi yangu kweli kweli. ..only in Tanzania ndiyo kuna baraka za milele kutoka kwa MWENYE ENZI MUNGU. ...
 
And only in tanzania...baraka hizo kutoka kwa mwenyezi mungu wanazitafuna wachache huku wakijiita watetezi wa wanyonge.
 
Aisee wewe ni kichwa panzi ,kwani hujui katibu mkuu ndiye mtendaji katika taasisi nyingi kama vyama na mwenyekiti ni kiongozi tu? Sasa ajabu iko wapi mwenyekiti kutokuwa na elimu kubwa kuliko katibu wake. Halafu mtu asiye na elimu hawezi kuendesha biashara na kuwa na mafaniko mithili ya mwenyekiti unayemsema, mtu asiye na elimu hawezi kusimamia chama kwa imara kama huyo unayemlenga. KUNA UTOFAUTI KATI YA KUMALIZA MADARASA MENGI NA ELIMU NDIYO MAANA WEWE NA ELIMU YAKO HAUNA CHOCHOTE CHA MAANA TUKIKULINGANISHA NA HUYO FORM SIX DIV 0. MWISHO WA SIKU ISSUE SI VIDATO BALI PRODUCT YA VIDATO HIVYO KATIKA MAISHA YAKO NA JAMII.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mbona unatokwa na povu kiasi hicho...!!?
Punguza mahaba, kwani mm nimemlenga nan, au nimemzungumzia nan vibaya..!?

umesahau kuwa hiyo ni ONLY IN TANZANIA
 
Ni Tanzania tuu peke yake Wanawasifia Wazungu kuliko Waafrika wenzao.

Ni Tanzania tuu peke yake Wanawapapatikia wanyonyaji na mabeberu "Israili na Moroko", wakati Nyerere na Mandela waliwapinga, na hata mbiu rasmi ya Umoja wa Afrika wamewapinga hawa makabaila wawili.

Ni Tanzania tuu peke yake wanajua siasa ya Marekani kuliko siasa ya nchi za Afrika.

Watawala CCM mnajukumu kubwa sana kumrudisha Mwafrika awe na fikra sahihi.

Fikra za Mwafrika zimepigwa mnada.

Pesa za Wazungu, tamaa zetu na tabia ya kuwapapatikia Wazungu zisitupeleke sehemu ya kumsaliti Baba wa Taifa. Hayupo na sisi leo Baba wa Taifa, lakini "spirit" yake iko alive na tuko tayari kudumisha fikra zake.

Awamu ya 5, kuchamba kwingi....

"Message sent and delivered"
Inaonyesha una ishi na fikra za baba wa taifa mpaka kwenye familia yako
 
Huu ni utahaila wa hali ya juu mno
 
Ni Tanzania pekee uchafu na ufisadi wa mtu unaisha kwa kuhama chama tu.
Na akifika chama kingine ni msafi kama malaika
 
Nitanzania pekee Raisi kashinda Tuzo za Forbes!!!!!!
 
Back
Top Bottom