Ni Tanzania pekee ambapo wasomi wengi wanaaminiwa kuongoza taasisi nyeti kama mifuko ya kijamii etc...lakn ubunifu ni zero
Kwanini wabanwe hao wakati kuna watu walikula elabza escrow wameachwa!!Ni tanzania pekee ambayo watu wake wanakopeshwa pesa za kusomea elimu ya juu nawakiisha ajira kulipa ni nogwa
Soma vizuri hukumwelewa!1) Hata almasi zote zinazochimbwa duniani soko kuu ni Ujerumani. Kahawa ya duniani soko kuu ni Uingereza.
Hilo la kwanza, ni ujinga tu kudhani kuwa kwa kuwa unachimba madini basi soko kuu litakuwa kwako.
Ndizi hazilimwi Dar. Lakini mahakama ya ndizi (soko kuu la ndizi) lipo Dar.
Ni ujinga tu umetujaa Watanzania mpaka tunafikia kuwa na fikra za kijinga.
Soma vizuri hukumwelewa!
Kuna haka kamsemo " ni Tanzania Pekee a.k.a Only in Tanzania" nimekuwa nikikutana nako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF. Nimetumia muda mrefu kutafakari haka kamsemo na nimegundua kweli ni only in Tanzania kuna mambo mengi yanatokea yakushangaza kama si kutuaibisha watanzania.
Ifuatayo ni sehemu ambazo nimekuta huu msemo ukitumika.
Ni Tanzania pekee Tanzanite inachimbwa lakini soko kuu la Tanzanite ni Kenya na India.
Ni Tanzania pekee mwizi wa mali ya uma anajulikana lakini hachukuliwi hatua yeyote.
Ni Tanzania pekee mtu ana PHD lakini hawezi ongea kingereza.
Ni Tanzania pekee Mwenyekiti anajiuzuru tena kwa barua na mbwembwe tele kwenye media ila baada ya mwaka anarudi kwa ubabe nakudai na yeye ndiye Mwenyekiti halali.
Ni Tanzania pekee pesa za maafa/rambirambi zinageuka kuwa za lambalamba.
Ni Tanzania pekee Waziri Mkuu anaulizwa swali anajibu Naibu Spika.
Ngoja niishie hapo mengine mtaongeza wenyewe, maana ni Tanzania pekee ukiongea ukweli unaitwa mchochezi.

Ungekuwa umeisha wai enda uko labda ungekuwa umesha elewa kwanini wao sio ivyo. Hata hivi mmesha jibiwa soma coment za nyuma.3) Nenda Japan, China, Germany, Poland, Urusi na kwingine kwingi sana. Kuwa na PhD si tiketi ya kujuwa Kingereza wala Kichina.
Hata majini si kila samaki anaweza kuelea kwenye kina kirefu ndo maana kuna samaki wa kina kifupi na samaki wa kina kirefuKwanini wabanwe hao wakati kuna watu walikula elabza escrow wameachwa!!
Mlete huyo mchina tumshindanishe na Mwajuma ndala ndefu kwenye kiswahili cha kuongea,akiweza kuongea vizuri kiswahili kuliko Mwajuma basi pia hata mie nitakubali kuwa hii ni Tanzania pekee.Ni Tanzania pekee mtoto wa Kichina Cong Cong Wang anaongoza kitaifa kwenye mtihani wa Kiswahili
Huku Mwajuma ndala ndefu born here here akiandika kwani vepee
Unamaanisha mkulu alichungulia au aliingia na kikaratasi mpaka akapata PhD??3) Nenda Japan, China, Germany, Poland, Urusi na kwingine kwingi sana. Kuwa na PhD si tiketi ya kujuwa Kingereza wala Kichina.