Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

Ni Tanzania pekee ambapo
kiongozi wa juu wa chama na jopo lake wanasafiri mwendo mrefu na kutumia gharama kubwa za usafiri kwa ajili ya kwenda kuchangia elfu 40.. kwa ajili ya rambirambi..
huko kagera
 
n
Kuna haka kamsemo " ni Tanzania Pekee a.k.a Only in Tanzania" nimekuwa nikikutana nako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF. Nimetumia muda mrefu kutafakari haka kamsemo na nimegundua kweli ni only in Tanzania kuna mambo mengi yanatokea yakushangaza kama si kutuaibisha watanzania.

Ifuatayo ni sehemu ambazo nimekuta huu msemo ukitumika.

Ni Tanzania pekee Tanzanite inachimbwa lakini soko kuu la Tanzanite ni Kenya na India.

Ni Tanzania pekee mwizi wa mali ya uma anajulikana lakini hachukuliwi hatua yeyote.
b4b3d1b37e190d66c0fad46d3c95f223.jpg

Ni Tanzania pekee mtu ana PHD lakini hawezi ongea kingereza.

Ni Tanzania pekee Mwenyekiti anajiuzuru tena kwa barua na mbwembwe tele kwenye media ila baada ya mwaka anarudi kwa ubabe nakudai na yeye ndiye Mwenyekiti halali.

Ni Tanzania pekee pesa za maafa/rambirambi zinageuka kuwa za lambalamba.

Ni Tanzania pekee Waziri Mkuu anaulizwa swali anajibu Naibu Spika.

Ngoja niishie hapo mengine mtaongeza wenyewe, maana ni Tanzania pekee ukiongea ukweli unaitwa mchochezi.
ni tanzania pekee ukigundua silaha ya moto inaweza kuku7bishia matatizo kwa kuwekwa ndan
 
Bahati mbaya wanaolinganisha, hiyo pnly in tanzania hawajawahi hata kufika burundi.
 
Ni Tanzania pekee mburura kama wewe unainyoshea mkono serikali nayo inakungalia tu
 
NI Tanzania pekee ukimuota mtu amekufa utajuta kuzaliwa Tanzania ndukii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hiyo ya PHD kutoweza kuongea kiingereza si Tanzania pekee..

Maprof wa urusi na china sio wote wanajua english, na hawaoni kama ni shida
Inategemea na mfumo wao wa elimu kama english sio lugha ya kufundishia si jambo geni na ndivo zilivyo hizo nchi ila si kwa Tz mkuu
 
Ni Tanzania pekee mtu anawaza kuchapisha pesa mpya kwa kuhisi wameficha pesa Wananchi Ni Tanzania pekee ukitaka kuota ndoto nakusimulia ndoto yako unaitaji kibali kutoka kwa police
 
Ni Tanzania pekee kiongonzi ayeenda kufanya uhakiki wa vyeti yeye mwenyewe ajahakikiwa vyeti vyake Ni Tanzania pekee matokeo ya uchaguzi yanafutwa
 
Bahati mbaya wanaolinganisha, hiyo pnly in tanzania hawajawahi hata kufika burundi.
Ni tz only wenye akili ndogo kama we kudhani kutoka kwenda nje ndo kutakupa power ya kutoa hoja na si yule aliye ndani ya nje na sababu ya waliotoka nje wanajiona malaika
 
Ni Tanzania pekee kuna watu wanaoamini kipimo cha usomi ni kujua kuongea Kingereza.
Ni kwel ila mkuu ukiulizwa swali sio la kawaida la kitaalamu ulitolee maelezo kwa lever ya elimu fulani kwa lugha fulani ukatoa vizur kabs alafu ata kingeleza cha kuombea maji ujui ni kutoka speed wakati huna break what do u expect ahahahaha only tz
 
Back
Top Bottom