shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,795
- 13,501
Nitakuwa nakutokea wewe na unayetaka kumuoa ilimradi Tu usioe tena ubaki mgane ulee watoto mwenyewe🤗🤗🤗Nitakuwa nimewekeza vya kutosha
Na je ukitangulia wewe kufa itakuwaje? 😂😂
Nitakuwa nakutokea wewe na unayetaka kumuoa ilimradi Tu usioe tena ubaki mgane ulee watoto mwenyewe🤗🤗🤗Nitakuwa nimewekeza vya kutosha
Na je ukitangulia wewe kufa itakuwaje? 😂😂
Gwamaka alivyo msumbufu nitapasuka kichwaaNitakuwa nakutokea wewe na unayetaka kumuoa ilimradi Tu usioe tena ubaki mgane ulee watoto mwenyewe🤗🤗🤗
SuccessDifferentiate
Kabisa pesa tamu ikifika mkononiKwenye hela usimuamini mtu yoyote, hata awe Baba yako,Mama yako au ndugu wa tumbo moja.
Ohh okySuccess
Being rich
Kuna watu wana hela nyingi
Kuna watu ni matajiri
Kuna watu wamefanikiwa.
Katika hao watatu ni tofauti .
Unafikiri nimekaa bukoba sio? 😂Nilitegemea ungesema umejifunza kupika wali wa karanga za kuchemsha
Naongelea causes and effectsNimekuelewa una ongelea upande wa behavior na action
Hupasuki ila cha Moto utakiona!Gwamaka alivyo msumbufu nitapasuka kichwaa
Kabisa cheza na mudaHehe, watoto ndo alama zetu mojawapo muhimu tutakazoacha. Usichelewe saaana kupata watoto.
Ni mabaya kuliko kawaidaHakuna shortcut KATIKA KUTAFUTAJI na endapo utapita njia hiyo jiandae malipo yaja.
😂😂😂😂 Kiufupi nilichojifunza katika maisha haya ya utafutaji..Unafikiri nimekaa bukoba sio? 😂
Hapo sawa bossNaongelea causes and effects
Kuwa kuna cursed job
Ila utaniruhusu ni watafutie mama yao mdogoHupasuki ila cha Moto utakiona!
😂😂😂 na punguza mdomo😂😂😂😂 Kiufupi nilichojifunza katika maisha haya ya utafutaji..
TUWEKE AKIBA WAKUU....
HESHIMU SANA SEHEMU INAYOKUPA CHAKULA...
USICHEKE NA MTU ANAYEKUOMBEA NJAA
UTAFUTAJI✅Hakuna shortcut KATIKA KUTAFUTAJI na endapo utapita njia hiyo jiandae malipo yaja.