EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,695
- 12,932
Athari za Kuangalia sn hizi category,
1. family Taboo affair
2. Seducing my Step sis
3. Massaging step bro
4. Blowjob My Brother's BBC
5. Sleeping sis
Yaani hao ni ndugu kbs km tu mtoto wa mjombaHaha Na mtoto wa Baba mdogo au baba mkubwa vipi?
Wote hawajakatazwa hawa
Hahaha sasa hao hakuna sheria iliyokataza iwe ya kidini au Ya Kicurcular (Kiserkali)Yaani hao ni ndugu kbs km tu mtoto wa mjomba
Shukrani sana..
Watoto wa Ami (Baba mdogo, baba mkubwa)
Na Binamu hakuna katazo
Ni Kanuni ya adhabu (Penal code) vifungu vya 158 na 160, na ufafanuzi wa relationship zenyewe ni 161. just google "Tanzania Penal code" itakuletea, usome hivyo vifungu. inaitwa Incest, sio ancestry.Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Naifikiria kwa angle hii, mtoto wa dada yangu aje aoe binti yangu! Dada yangu anakua mama mkwe wa binti yangu!Hahaha sasa hao hakuna sheria iliyokataza iwe ya kidini au Ya Kicurcular (Kiserkali)
Yes, shukrani.. Ni kweli nilikosea, ni IncestNi Kanuni ya adhabu (Penal code) vifungu vya 158 na 160, na ufafanuzi wa relationship zenyewe ni 161. just google "Tanzania Penal code" itakuletea, usome hivyo vifungu. inaitwa Incest, sio ancestry.
Jamaa anaona masela wanafaidiOna hii umbwa imeanza kutaman dada zake.
Hii ni kawaida kwa makabila Baadhi Tanzania na hata Zanzbar kuoa mtoto wa Ami (Bamdogo kwa bamkubwa) ni kawaidaN
Naifikiria kwa angle hii, mtoto wa dada yangu aje aoe binti yangu! Dada yangu anakua mama mkwe wa binti yangu!
Noma imekaa vibayaHii ni kawaida kwa makabila Baadhi Tanzania na hata Zanzbar kuoa mtoto wa Ami (Bamdogo kwa bamkubwa) ni kawaida
Kabisa mkuu.Jamaa anaona masela wanafaidi
Hapana Ni kutokana na Sehemu uliyopo tu chief..Noma imekaa vibaya
Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
Punguza kutazama porn itakusaidia. Unachokiona kwenye Porn ni uharibifu mtupu. Ukiendelea utakuja kubaka mama au dada yako mwisho wako uwe mbaya.Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
Yes naona hii ni common practice kwa waarabu.. Mimi ni mpenzi sana wa hizi movie zilizotafsiriwa kwenye Azam Tv. Nimejifunza mengi sana kwa hawa waarabu wa uturuki. Yani ndugu kwa ndugu wanaoishi nyumba moja hapo ndani wanaoana aisee. Na hii ni dhairi kwenye movies nyingi za hawa jamaaa.. Nadhani hata watazamaji wenzangu maofatilia hizi movie za waturuki ambao kwa sasa wanakuja kwa kasi mmeliona hili.although, sijui kama inatumika vyema hii sheria, kwasababu kwa mfano waburushi na baadhi ya makabila ya waarabu, wanaoana ndugu kabisa aisee. hadi aibu.