Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Yeye mwenyewe kaprove kuwa UDSM kuna matatizo. Kama ndo wanatoa PhD za hivi ni shida. Uwezo wake haulingani hata na mtu aliyehitimu Bachelor degree yake vizuri. Huyu mkuu bila kumjua kuwa ni nani, ukamkuta mtaani anaongea kwenye kundi la watu huwezi kumtofautisha na darasa la saba watakao kuwa wanamsikiliza. Sidhani kama anajua maana ya PhD mbali na kujua kirefu chake tu. Philosophy is Love of Wisdom. Sasa wewe unaitwa Philosophy Doctor hiyo wisdom haionekani hata chembe, ndo bingwa wa kuropoka. Tusemeje zaidi ya kuona kuwa kichwani hiyo PhD haipo ila ipo kwenye makaratasi. Yamkini hata thesis yake alishaisahau. Samahani kwa kusema haya ila wakati mwingine inabidi. Watu kama akina hayati Baba wa Taifa wana hotuba nyingi sana sikiliza zote lakini huwezi kukutana na pumba zaidi ya kukuchekesha tu. Sasa wengine wanatumia pumba kuwachekesha watu kwa kuwa wengi wetu Watz hufurahia pumba. Wewe mkuu wa nchi kama unashindwa kuwa na busara za kuwaunganisha watu bali unawajengea fikra za kudharauliana, wananchi tutegemee ni nini!
 
Kusoma chuo kizur syo kuwa competent kazin. Yr competence is a function of hard working and yr inteligency.

Huwa namshangaa mheshimiwa anavyorely kwa proffessors hasa from UDSM ktk teuz zake. Anapotea sana bcz accademic excellence ni kitu tofaut na job perfomance.

These day employer anaweza kupa contract based on yr cv only na the way unajifanyia expression.
 
Nadhani huko sahihi kabisa. Kwanza italeta picha nzuri kama rais ataiamini na kuiachia suala hili mamlaka husika (TCU). Na kama kuna jambo ambalo rais hafurahishwi nalo, ni vema akapata/kutoa maelekezo ya moja kwa moja kwa TCU. Kwa hali ilivyo sasa ni kama kutuchanganya tu wananchi!
Tatizo ni too much mjuaji
 
Kingereza ni lugha kama lugha nyingine mkuu
Unapima usomi wa mtu kwa lugha?
Ni aibu kwa msomi wa PHD kukosa fluent. Tuwe wakweli kuna shida hapa.
Hv unaweza kumlipia mtoto wako English medium af anaongea english mbovu than majority of kayumba students? Hv itakuwa fare kwako?
Udsm ni chuo bora Tz ikifatiwa na SUA , muhimbili, Mzumbe but chuo kama chuo hakitakufanya kuwa competent na chuo bora syo lazima kitoe wanafunzi bora. Ubora unakutegemea ww mwenyewe.

Work hard and intelligently ndio siri syo chuo.

Namkubali sana rais wang Magu na naipenda kazi yake but English ipo chin.
 
kuanzia leo threads zote ziwe kwa kiingereza , tuwapime mnayemsema bwana Mkubwa ....
 
UDSM ni chuo ambacho kimetoa product ya PHD isiojua kiingereza,

"namkumbuka sana huyu mzee wa catalyst"

Babu njoo uone Tanzania ya Vibanda .

cc Babu la Mababu
 
Ni aibu kwa msomi wa PHD kukosa fluent. Tuwe wakweli kuna shida hapa.
Hv unaweza kumlipia mtoto wako English medium af anaongea english mbovu than majority of kayumba students? Hv itakuwa fare kwako?
Udsm ni chuo bora Tz ikifatiwa na SUA , muhimbili, Mzumbe but chuo kama chuo hakitakufanya kuwa competent na chuo bora syo lazima kitoe wanafunzi bora. Ubora unakutegemea ww mwenyewe.

Work hard and intelligently ndio siri syo chuo.

Namkubali sana rais wang Magu na naipenda kazi yake but English ipo chin.
Umekwishasema English medium ambako mtoto anaanza kufundishwa kingereza tangu akiwa mtoto hivyo kuwa rahisi kwake kuwa vizuri kwenye lugha hiyo!

Ambao hatujasoma englishi medium kingereza tunakitumia tu kwenye masomo ambapo kujua inategemea zaidi unasoma masomo gani. Sio rahisi sana mtu anayesoma sayansi kujua kingereza kwa kiwango unachotaka wewe.

Kumbuka kingereza cha kuongea na cha darasani/kujifunzia viko tofauti mkuu
 
ok , hayo maarifa aliyonayo utatumia lugha gani kuyawasilisha ?
Kama umesoma communication skills [emoji3] [emoji3]
Spoken language ni tofauti kabisa na written language

Kuwasilisha vitu kwa maandishi ni rahisi zaidi kuliko kwa kuandika
Je aliwasilisha kwa oral au written form?
 
Yeye mwenyewe kaprove kuwa UDSM kuna matatizo. Kama ndo wanatoa PhD za hivi ni shida. Uwezo wake haulingani hata na mtu aliyehitimu Bachelor degree yake vizuri. Huyu mkuu bila kumjua kuwa ni nani, ukamkuta mtaani anaongea kwenye kundi la watu huwezi kumtofautisha na darasa la saba watakao kuwa wanamsikiliza. Sidhani kama anajua maana ya PhD mbali na kujua kirefu chake tu. Philosophy is Love of Wisdom. Sasa wewe unaitwa Philosophy Doctor hiyo wisdom haionekani hata chembe, ndo bingwa wa kuropoka. Tusemeje zaidi ya kuona kuwa kichwani hiyo PhD haipo ila ipo kwenye makaratasi. Yamkini hata thesis yake alishaisahau. Samahani kwa kusema haya ila wakati mwingine inabidi. Watu kama akina hayati Baba wa Taifa wana hotuba nyingi sana sikiliza zote lakini huwezi kukutana na pumba zaidi ya kukuchekesha tu. Sasa wengine wanatumia pumba kuwachekesha watu kwa kuwa wengi wetu Watz hufurahia pumba. Wewe mkuu wa nchi kama unashindwa kuwa na busara za kuwaunganisha watu bali unawajengea fikra za kudharauliana, wananchi tutegemee ni nini!
Umenifanya nicheke kwa sauti mkuu!! Kwani Phd yake ni ya linguistics in (english)?

amesoma biomedical kama sikosei ambapo lugha yake ni tofauti kabisa na english unayoitaka wewe
 
Ukiona baba anaongea kibaguzi namna hiyo, ujue anatoka kwenye jamii iliyojaa wabaguzi
 
kazungumza ukweli japo angeweza tumia lugha nzuri but tushamzoea is now common!! Mi ninachukia sana kitendo cha kupangiwa chuo na TCU kwani mosi tunaua ushindani wa vyuo, pili tunawanyima fursa wanafunzi kusoma vyuo wanavyopenda kulingana na mapenzi yao, hali ya hewa n.k!!!
 
Kama umesoma communication skills [emoji3] [emoji3]
Spoken language ni tofauti kabisa na written language

Kuwasilisha vitu kwa maandishi ni rahisi zaidi kuliko kwa kuandika
Je aliwasilisha kwa oral au written form?
Mkuu unataka kutuambia kila kitu kina kuwa presented in writings ?
 
Mimi nilimuelewa vizuri sana kuwa TCU iwape wanafunzi first priority chuo alichochagua badala ya kuwakimbuzia vyuo vya private hajakichagua hapo hapo alichochagua hakijajaa na sifa ya kuingia pale anazo.... tuwege na fadhila sometimes kosa lake liko wapi hapo sasa anawatetea watoto wetu halafu tunafurukuta
 
Hivi huwa anajisomea vitabu mbalimbali kuhusu ..general knowlegde, management, siasa, uchumi, etc etc?
 
Ni muda muafaka kaka wa Bashiete ku prove.PhD yake ya kutu...why is 3 yrs open??why look similar with.....at the year of Graduate???etc.
 
Back
Top Bottom