yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Mbona anazindua Miradi ya waliosoma vyuo vingine pili Kuna watu wako ofisini from udsm ni wa kawaida saana
Wakati hao hao Wa udsm wengi ni vilaza
Mbona anazindua Miradi ya waliosoma vyuo vingine pili Kuna watu wako ofisini from udsm ni wa kawaida saana
Kwenye miaka hii 10, utajasikia watumishi Wa Umma waliosoma vyuo tofauti na UDSM vyeti vyao vyote ni fake.
Nadhani ukisema ud mshahara unatolewa kwenye tgs unafanywa addition...au kam punga lilelile itabaki jina tuMbona anazindua Miradi ya waliosoma vyuo vingine pili Kuna watu wako ofisini from udsm ni wa kawaida saana
Ufaulu wake mdogo bana hakuna mtu ambae aliapply muhas mwenye ufaulu mkubwa akakosaHavipondi ila anasema ukweli. Vyuo vingi ni magumashi. Kuna haja gani ya kupeleka wanafunzi wachache chuo cha selikari na wakati bado hakijajaa? Vijae kwanza vya serikali maana hata bei nafuu. Mwaka jana rafiki yangu alipelekwa na TCU Kariuki wakati vyuo vya serikali naamini vipo na mpaka ikapelekea ashindwe kusoma maana ada ni kubwa na hakuwa na uwezo wa kuongezea ile tofauti. Kumbuka mkopo wa bodi hauzidi kiwango cha vyuo vya serikali.
Raisi hamnazo tu ndio atafanya hiyo character assasination.Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
TCU ibaki kudahili iboreshwe tu systemWachangiaji wengi hawakumuelewa Rais yeye Katowa Ushauri kwa TCU kuwapa uhuru Wanafunzi wachague vyuo wanavyotaka sasa tatizo Nini?
Are you sure ?Ili kuweka kumbukumbu vizuri DIT ni Dar es salaam Institute of Techology na hiki chuo kipo chini ya NACTE sio TCU na kinajikita zaidi kwenye Competency Based (CBET) wakati hivi vya TCU vinajikita kwenye Knowledge Based (KBET) nafikiri ndo maana si sawa kukiweka pamoja na UDSM
Usikute hata form 4 hujafika weweHueleweki una focus hasa wapi.....
Mara unanisifia, kisha tena unanipondea.
Ushajiuliza kwanini Mh Raisi 98% ya watendaji wake wakuu anawateua kutoka Pool ya Lecturers wa UDSM??
UDSM ni baba la baba lao.
Daaah kwel mkuu Kwa hzo course za chini n shda Kwa udsm wanakaza sanaZIFUATAZO NI COURSE ZENYE VILAZA WENGI PALE CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM;
1. Textile engineering.
Hii course ya washona cherehani ina vilaza wa kutosha pia kwa mwaka 2014 mtu mwenye ufaulu mkubwa aliyedahiliwa alikuwa na daraja la pili wengi wao ni daraja la tatu na walifika mpaka daraja la nne duh hawa washona cherehani ni vilaza sana.
2. Socialogy.
Mtu wa art mwenye ndoto ya kusoma chuo kikuu cha taifa yani chuo kikuu cha Dar-es-salaam achague hii course mana ni kama zoa zoa na ina chukua watu wengi hadi vilaza.
3. Mass communication.
Kuna jamaa alichaguliwa hii course ila badae alikimbia mana aliona anapoteza muda na aliingia hapo kwa ufaulu mdogo dah jamaa alikuwa kilaza mzuri tu na akaenda kuungana na wengine.
4. Bed psychology.
Kuna mwalimu wangu alisomaga hii course akanikataza nisiichague kabisa pia kuna binti nilimaliza nae kidato cha sita alipata matokeo mabovu akachaguliwa hii bed kisha akaanza kuandika mtandaoni"nashukuru kuchaguliwa chuo cha taifa poleni mlioenda vyuo vya kata" hana adabu watu walimgaragaza form six anawakejeli dah vilaza wakipata wanashida.
5. BA heritage management.
Kuna jamaa alitemwa na vyuo vingine round ya kwanza kwaiyo ikabidi achaue nafasi zilizobaki kwenye baadhi ya vyuo ikiwemo Dar-es-salaam na akapata hii course na alikuwa na ufaulu mdogo sana mimi namuita kilaza.
NATAKA WAJE KUIJIBU HII THREAD ILI NIENDELEE NA COURSE NYINGINE ZIPO KIBAO KAMA SCHOOL OF JOURNALISM ZIPO COURSE SIJAZITAJA.
HITIMISHO
MTU WA UDSM AMBAYE HASOMI COURSE ZIFUATAZO ASIKUTISHE;
Petroleum,BAED,Bsc Education,Telecommunication,Law,Civil engineering na nyingine ntakuja kuzitaja ila zipo course za VILAZA hapo UDSM.Waswahili husema "Mjumbe hauwawi" pia husema "Arushae jiwe kizani hajui limpatae" pia husema "mwenye kelele hana neon" pia husema "kila zuri na kasoro ye" na Zaidi husema "Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mtu"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tz kuna vyuo 2 tu: UDSM and Other Universities!
1. Hivi humjui baba yako?Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
"huko" ndio nini? Wale wale!Nadhani huko sahihi kabisa. Kwanza italeta picha nzuri kama rais ataiamini na kuiachia suala hili mamlaka husika (TCU). Na kama kuna jambo ambalo rais hafurahishwi nalo, ni vema akapata/kutoa maelekezo ya moja kwa moja kwa TCU. Kwa hali ilivyo sasa ni kama kutuchanganya tu wananchi!
We Binti ni wewe hapo au nimekufananisha?Mentally not OK
Kwani ni nani aliyekwambia kwenye CBET hakuna degree?Are you sure ?
DIT kipo under nacte kwa diploma n below tyu
Lakini kwenye degree, masters n upper ni TCU
Ndomana lazima ukikute kwenye TCU guide book
...uko.. (siyo huko). Nadhani ulikuwa na namna nyingine nzuri ya kunisahihisha lakini hukutaka kuitumia. Hata hivyo, asante sana."huko" ndio nini? Wale wale!