Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

UDSM ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.
Tanganyika Law School ni zao la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Kassim Majaliwa UDSM.
Edward Lowassa (Mabadilikooo) UDSM.
Mizengo Peter Pinda (Mtoto wa Mkulima) UDSM.
Samwel Sitta (RIP- DARUSO President) mpaka akachapwa viboko na JK hadharani UDSM.

Twende:
Zitto Zuberi Kabwe (DARUSO President) UDSM.

Edo Kumwembe UDSM.
K Bazil UDSM.
Jokate Mwigelo UDSM.

Jeshi la Anga (Airforce Command) linapohitaji graduates miaka yote huwa wanakuja COET kurecruit Engineers.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
Eti CCNP Engineer, au umegushi cheti cha Ud , watu wa Ud hatuko hivyo! Acha kutuzalilisha Nina mashaka na cheti chako mkuu
 
Anaehusudu kiingereza namuona kama shule haijamsaidia
Ujue hilo ni swali rahisi sana,, pale unapojiuliza inakuaje mtu katumia more than 7 years in learning using the medium of commnctn ambayo bado inampa shida even to state a correct single sentence in English??? Ni uboya wa mtu au walo mtrain wameshindwa???
 
UDSM huwa mnaponda kote ila sijawahi kusikia mnagusa DIT mnawaogopa au,naskia wale jamaa sio wa mchezo mchezo.wanawatoa kamasi balaa.
Ni DIT imeanza muda kabla ya Mlimani apo ata mitaala ya Engineering, UD kachukua DIT hata Site efficiency kubwa ni Graduates wa DIT mana Mlimani Theory 60℅ na Practical 40℅ verse versa na DIT practical 60 na theory 40 kaa tu chini uwaze hvi Bongo kwa tulipo sasa tunahitaji Theoretical Engineers au Experimental Engineers? Kuna ka bifu ka chini chini Faculty of Engineering Kati ya DIT na mlimani [emoji55] Diploma Holder wa DIT kuchaguliwa bachelor Coict au Coet ni ngumu kidogo au mara chache
 
kwan UDSM ni kina nani?? Acheni kushangaza nyie watu,,, ko kujion mtu umesoma UD kichwa kinakua??
Nawafanyia usahili sana hawa wasomi wetu
Huwezi amini madudu walionayo unabaki mdomo wazi
Kama mchezo wa kuigiza hiwezi amini.
Msomi wa B.com
anaulizwa kwenye usaili aelezee maana ya payment vocha anasema anaijua ila amesahau kidogo jina si geni akikumbushwa ataikumbuka na ni mhasibu
Tuwaombee
 
Ni DIT imeanza muda kabla ya Mlimani apo ata mitaala ya Engineering, UD kachukua DIT hata Site efficiency kubwa ni Graduates wa DIT mana Mlimani Theory 60℅ na Practical 40℅ verse versa na DIT practical 60 na theory 40 kaa tu chini uwaze hvi Bongo kwa tulipo sasa tunahitaji Theoretical Engineers au Experimental Engineers? Kuna ka bifu ka chini chini Faculty of Engineering Kati ya DIT na mlimani [emoji55] Diploma Holder wa DIT kuchaguliwa bachelor Coict au Coet ni ngumu kidogo au mara chache
Umeshaona eeh!
 
09a1fb5897e7fed20af240eab43f988c.jpg
 
yaani we makalio kinyama!! kuna watu wamesoma UD apo lakini mabosi wao wamesoma ifm,tia,mzumbe....akili za kitoto kabisa hizi.
Naona leo jamaa kagusa wrngi; ila lakini kama alichosema si kweli kwa nn tukasirike kiasi hiki? Ni wajibu wetu kumuonyesha kwa vitendo kuwa nasi tupo wa vyuo vingine. Jamaa hafai ila leo karusha jiwe gizani hahaaaaa
 
Ni DIT imeanza muda kabla ya Mlimani apo ata mitaala ya Engineering, UD kachukua DIT hata Site efficiency kubwa ni Graduates wa DIT mana Mlimani Theory 60℅ na Practical 40℅ verse versa na DIT practical 60 na theory 40 kaa tu chini uwaze hvi Bongo kwa tulipo sasa tunahitaji Theoretical Engineers au Experimental Engineers? Kuna ka bifu ka chini chini Faculty of Engineering Kati ya DIT na mlimani [emoji55] Diploma Holder wa DIT kuchaguliwa bachelor Coict au Coet ni ngumu kidogo au mara chache

Nimesoma DIT, napo ni bla bla tu kama vyou vingine. Mfumo wa elimu wa tanzania ni mfu, so hakuna wa kumtambia mwenzake .... yaani wote ni kama maiti hakuna wa kumuomba mwenzake damu.
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Havipondi ila anasema ukweli. Vyuo vingi ni magumashi. Kuna haja gani ya kupeleka wanafunzi wachache chuo cha selikari na wakati bado hakijajaa? Vijae kwanza vya serikali maana hata bei nafuu. Mwaka jana rafiki yangu alipelekwa na TCU Kariuki wakati vyuo vya serikali naamini vipo na mpaka ikapelekea ashindwe kusoma maana ada ni kubwa na hakuwa na uwezo wa kuongezea ile tofauti. Kumbuka mkopo wa bodi hauzidi kiwango cha vyuo vya serikali.
 
Kuna watu wamesoma vyuo vibgine wako vizuri kuliko walio soma UDSM, huku nikukwepa majukum tu ya kuweka miundombinu sawa ya vio vingine!!
Pia mtu anae sisitiza kodi halafu anatamani vyuo vya private vife ambavyo hulipa kodi ni kichekesho kwa kweli
 
Kwenye miaka hii 10, utajasikia watumishi Wa Umma waliosoma vyuo tofauti na UDSM vyeti vyao vyote ni fake.
 
Hata mie nimesoma hapo OD ni pa kawaida tu ila ni chuo kinachojali angalau haki za wanafunzi kuliko vingine na pia ni chuo chenye gharama nafuu kuliko vyote nchini

Ubora ndio kitu cha msingi, na vyuo vingi hapa kwetu kwenye hili eneo la ubora vina pwaya. So hakuna wa kumcheka mwenzake .... Inachobaki na juhudi ya mtu binafsi kua mkali.
 
Raisi Bomu kabisa huyu...Jpm ni bomu la Nucleur...Yaani ni dereva wa lori kweli kweli
 
Back
Top Bottom