Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Udsm ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.

Ohooooo.....! Yamekua haya tena duh😱
 
zezeta
 
Asee kuna vyuo kama Udom,st John,Rucu,ni majanga mnoo!Wanatoa graduates kwa baadhi ya kada ni maboya sana!Halafu hawa hawa ndio wanaaminiwa na kupewa nafasi za kufanya maamuzi makubwa katika wizara mbali mbali!Futa ama rekebisheni maana mnaaibisha sana elimu ya Tanzania
 
Povu la nini Mkuu? Kelele za chura hizo, uzuri umejua nani kaongea hivyo na background yake ya elimu. Bro mi nimesoma Chuo cha Mipango Dodoma lakini huku kazini hakuna tofauti. Piga kitabu na uzuri cheti chako hakina saini ya huyo Mr misifa
 
UDSM ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.
Tanganyika Law School ni zao la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Kassim Majaliwa UDSM.
Edward Lowassa (Mabadilikooo) UDSM.
Mizengo Peter Pinda (Mtoto wa Mkulima) UDSM.
Samwel Sitta (RIP- DARUSO President) mpaka akachapwa viboko na JK hadharani UDSM.

Twende:
Zitto Zuberi Kabwe (DARUSO President) UDSM.
Malisa GJ UDSM.
Edo Kumwembe UDSM.
K Bazil UDSM.
Jokate Mwigelo UDSM.

Jeshi la Anga (Airforce Command) linapohitaji graduates miaka yote huwa wanakuja COET kurecruit Engineers.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
Huyo Malisa G J
ulimsomesha wewe UDSM
au una bwabwaja kama kichaa
 
Malisa GJ yupi aliyesoma UDSM??
 
Back
Top Bottom