Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Jamani kama uzi umekuja kwa kiswahili tujibu kwa kiswahili, kha!! Hadi mnatuchanganya sisi wakongo man. "but am sure ain't wrong" ubarikiwe.

contraction informal " am not "...,, "but am sure ain't wrong"....!!!
 
Kwa Miaka Ya Nyuma Sn Vyuo Vyote Wkt Huo Vlikua Vnatoa Output Nzuri Sema Vilitofauliana Kidogo Mf. Waalimu Na Wanasheria Wazuri-UD, Teknolojia&Eng- DIT, Wahasibu - Mzumbe, IFM&TIA, N.K. Kwa Ss Vyuo Vyote Vna Shida Na Vipo Kibiashara, Hasa Baada Ya Mikopo Kuanza Ikawa Balaa, Vkaibuka Vyuo Kibao Na Hata TCU na NACTE nao wakanza kufanya nao Biashara Hiyo. Entry Requirement Zkashuka, Kutokana Na Soko Huria. Saiz Hakuna Cha Nani Wala Nani, Kuna Makopo Kibao Tu Ya UDSM,UDOM,IFM NK Huku. Kuhusu English Na Elimu Kuna Uhusiano Mkubwa Sn, Ndo Maana Wkt Ule Elimu Ipo Juu Wazee Wetu Hata Walioishia Form 4 Walikua Fluent In English. Unapo Mtaini Mwanafunz, Wkt Wa Kusaisha Matumiz Ya Lugha Ni Moja Ya Kigezo, Mf English, Civics, history, Geografy N.K. Hv Unampaje Mtu A Hata Km Kapatia Majibu Lkn Kayatetea Kwa Kiingereza Kibovu? Shule Za ST. maranyingi zinaongoza kwa A's Kwa7bu Ya Ngeli. So Anguko La English Mashuleni Ni Kwasababu Wataalamu Wa Lugha Hyo Ckuhz Wachache Mashulen, Co English Tu Hata Kwa Maths Vvyo Hvyo.
 
Back
Top Bottom