Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 754
Haya ni madhaifu ya mtu binfsi
Mimi naamini katika Juhudi binafsi, chuo ni kituo tu cha kufanyia mitihani.
KasahauSasa unashangaa nini?
Hizo mbona ni kauli tarajiwa
Kulinganisha UDSM na vyuo vingine hapa Tanzania ni ujinga uliopitiliza na kulinganisha waliosoma UDSM na waliosoma vyuo vingine hapa Tanzania ni Upuuzi wa hali juu.Mlimani ndio chuo bora East and Central Africa huwezi kulinganisha vyuo vya Kayumba.Mbona anazindua Miradi ya waliosoma vyuo vingine pili Kuna watu wako ofisini from udsm ni wa kawaida saana
Aiseeh! [emoji87] [emoji87]Kulinganisha UDSM na vyuo vingine hapa Tanzania ni ujinga uliopitiliza na kulinganisha waliosoma UDSM na waliosoma vyuo vingine hapa Tanzania ni Upuuzi wa hali juu.Mlimani ndio chuo bora East and Central Africa huwezi kulinganisha vyuo vya Kayumba.
nilikuwa nakodoa macho nione BAed iko upande ganiZIFUATAZO NI COURSE ZENYE VILAZA WENGI PALE CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM;
1. Textile engineering.
Hii course ya washona cherehani ina vilaza wa kutosha pia kwa mwaka 2014 mtu mwenye ufaulu mkubwa aliyedahiliwa alikuwa na daraja la pili wengi wao ni daraja la tatu na walifika mpaka daraja la nne duh hawa washona cherehani ni vilaza sana.
2. Socialogy.
Mtu wa art mwenye ndoto ya kusoma chuo kikuu cha taifa yani chuo kikuu cha Dar-es-salaam achague hii course mana ni kama zoa zoa na ina chukua watu wengi hadi vilaza.
3. Mass communication.
Kuna jamaa alichaguliwa hii course ila badae alikimbia mana aliona anapoteza muda na aliingia hapo kwa ufaulu mdogo dah jamaa alikuwa kilaza mzuri tu na akaenda kuungana na wengine.
4. Bed psychology.
Kuna mwalimu wangu alisomaga hii course akanikataza nisiichague kabisa pia kuna binti nilimaliza nae kidato cha sita alipata matokeo mabovu akachaguliwa hii bed kisha akaanza kuandika mtandaoni"nashukuru kuchaguliwa chuo cha taifa poleni mlioenda vyuo vya kata" hana adabu watu walimgaragaza form six anawakejeli dah vilaza wakipata wanashida.
5. BA heritage management.
Kuna jamaa alitemwa na vyuo vingine round ya kwanza kwaiyo ikabidi achaue nafasi zilizobaki kwenye baadhi ya vyuo ikiwemo Dar-es-salaam na akapata hii course na alikuwa na ufaulu mdogo sana mimi namuita kilaza.
NATAKA WAJE KUIJIBU HII THREAD ILI NIENDELEE NA COURSE NYINGINE ZIPO KIBAO KAMA SCHOOL OF JOURNALISM ZIPO COURSE SIJAZITAJA.
HITIMISHO
MTU WA UDSM AMBAYE HASOMI COURSE ZIFUATAZO ASIKUTISHE;
Petroleum,BAED,Bsc Education,Telecommunication,Law,Civil engineering na nyingine ntakuja kuzitaja ila zipo course za VILAZA hapo UDSM.Waswahili husema "Mjumbe hauwawi" pia husema "Arushae jiwe kizani hajui limpatae" pia husema "mwenye kelele hana neon" pia husema "kila zuri na kasoro ye" na Zaidi husema "Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mtu"
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Mi mpaka mwaka jana chuo kikuu..nilijuaga ni UDSM tu...vingine sivitambuiHivi vyuo vikuu vinatakiwa vifanyiwe uhakiki vile ambavyo havikidhi viwango vifutwe kuliko Rais kuishia kuvisema tuu mama professor Ndalichako najua umetake note
Malisa akupata tu bahati ya kwenda UDSM..kichwa sana yule jamaaHuyo Malisa G J
ulimsomesha wewe UDSM
au una bwabwaja kama kichaa
Nimesema hizo nyingine ni vilaza mana UDSM wanawaita wanafunzi wa vyuo vingine vilaza bila kujua kuwa kuna baadhi ya watu kwenye baadhi ya course hapo UDSM walipitwa kwa ufaulu wa form six na baadhi ya watu kutoka baadhi ya vyuo wanavyoita vya vilaza, hivyo basi kama vyuo vingine ni vilaza basi hawa waliopo hapa UDSM ambao wamepitwa na hao watu tunaowaita vilaza watakuwa ni vilaza mara mbili.nilikuwa nakodoa macho nione BAed iko upande gani
but kwanini hizo kozi nyingine umesema ni vilaza sana?
Haya sawa mkuuNimesema hizo nyingine ni vilaza mana UDSM wanawaita wanafunzi wa vyuo vingine vilaza bila kujua kuwa kuna baadhi ya watu kwenye baadhi ya course hapo UDSM walipitwa kwa ufaulu wa form six na baadhi ya watu kutoka baadhi ya vyuo wanavyoita vya vilaza, hivyo basi kama vyuo vingine ni vilaza basi hawa waliopo hapa UDSM ambao wamepitwa na hao watu tunaowaita vilaza watakuwa ni vilaza mara mbili.
Mkuu suala la lugha ni tata sana si rahisi kama unavyosema rejea acquisition of second language utagundua mengi. Sisi wengi kingerza ni lugha yetu ya tatu au yanne naunakutana nayo ktk formal setting huwezi ku master. Kuna mufano michache sana duniani ya walioweza ku master lugha ya kigeni ktk umri mkubwa yaani from 14 yrs and aboveMimi nilitoka hapo ila aibu inakuja pale tunapoona kuna PhD ilianzia hapo lakini lugha ya English ni mgogoro
Tz kuna vyuo 2 tu: UDSM and Other Universities!Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.