Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

UDSM huwa mnaponda kote ila sijawahi kusikia mnagusa DIT mnawaogopa au,naskia wale jamaa sio wa mchezo mchezo.wanawatoa kamasi balaa.
Ili kuweka kumbukumbu vizuri DIT ni Dar es salaam Institute of Techology na hiki chuo kipo chini ya NACTE sio TCU na kinajikita zaidi kwenye Competency Based (CBET) wakati hivi vya TCU vinajikita kwenye Knowledge Based (KBET) nafikiri ndo maana si sawa kukiweka pamoja na UDSM
 
Ni chuo kilichodumaza taifa kwa muda mrefu, hakina mchango chanya kwa maendeleo kimetoa wezi mafisadi na wasio na weledi kabisa,
7aa43c1e2cbd831d6ec2e4393c822ba9.jpg
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
kuna wenzako waliambiwa kila majanga ni wao,........kuanzia ukimwai hadi kijiji kinaitwa katereroooo... vumilia tu broo.
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Nilikuwa namuona kwa mbali Profesa Sigalla akibadilika uso ilhali wiki iliyopita nae wa vyuo dhaifu alikuwa anajitamba usomi wake.

ukweli ni ukweli tu, hadhi ya vyuo inatofautiana.Sio Tanzania tu bali duniani kite.
 
Mkuu kuna watu wengi tu walikuwa na division 3 wamwsoma UDSM kwa kujilipia-tena nina rafiki zangu 3 walimaliza UDSM mwaka 2009 BA in economics na six walikuwa na dvsn 3.na walimaliza Ud kwa GPA nzuri tu je hao nao ni vilaza???
 
Sasa Mkuu wewe ambaye hujasoma UD na magufuli aliyesoma UD kuna utofsuti gani
 
Sasa naona tunazidi kuzama katika vituko. Hivi leo hii Tanzania tunaweza tambiana kwa vyuo? Mbona vyote vina matatizo? Manake enzi hizi hata tofauti ya viwango (quality) vya wahitimu wa vyuo mbalimbali akiwemo mtoa kauli mwenyewe haionekani kwa ufasaha. Sijui nani anaweza kumkoga mwenzake kwa kiwango cha elimu inayotolewa vyuoni siku hizi? Au ndio namna ya kupotezea mijadala ya maana? Hangaikieni kuboresha elimu. Hayo mengine ni kama kutafuta pepo ya mabwege. Mediocrity at its best.
 
UDSM ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.
Tanganyika Law School ni zao la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Kassim Majaliwa UDSM.
Edward Lowassa (Mabadilikooo) UDSM.
Mizengo Peter Pinda (Mtoto wa Mkulima) UDSM.
Samwel Sitta (RIP- DARUSO President) mpaka akachapwa viboko na JK hadharani UDSM.

Twende:
Zitto Zuberi Kabwe (DARUSO President) UDSM.

Edo Kumwembe UDSM.
K Bazil UDSM.
Jokate Mwigelo UDSM.

Jeshi la Anga (Airforce Command) linapohitaji graduates miaka yote huwa wanakuja COET kurecruit Engineers.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
--Deep down, you happen to be very shallow,,..
-- You are deep in shallow water,,
--Shallow men believe in luck strong men believe in cause and effect,,
--You are deep versed in books and shallow in yourselves,,..
-- Only the shallow know themselves...!!
--It is not when truth is dirty, but when it is shallow, that the lover of knowledge is reluctant to step into its waters...
--I'm just shocked at how blatantly shallow people are sometimes.


DON'T BE STUPID BOY..!!
 
Kuna muda huwa nawaza inawezekana hili lijamaa ni la CHAUMA na limeingia huko ili liisambaratishe ccm halafu lipite hivi.
 
Hueleweki una focus hasa wapi.....
Mara unanisifia, kisha tena unanipondea.

Ushajiuliza kwanini Mh Raisi 98% ya watendaji wake wakuu anawateua kutoka Pool ya Lecturers wa UDSM??

UDSM ni baba la baba lao.

Haki ya Mungu ,,, wew kweli KICHWA MAJI...!!! Ka umeshindwa kujua naelekea wapi,, Hebu nyamaza usijipe ujiko wa kipumbavu wa kusoma UD,, iyo sifa mbona inakukataa kaka ,,,!!! Don't yu see yu r shaming yurself??
 
La saba langu limeniwezesha kulima mboga na mazao mengine bila mtaalamu toka Sokoine, nimewasomesha watoto wangu wanne wamemaliza vyuo, wameoa wengine, wana watoto ingawa sipati senti lakini wanajitegemea. Je ningesubiri niende chuo hao watoto wangesoma kweli? Sina hata cheti labda cha la saba ambacho sijachukua huu mwaka wa 50 na sijui kama kipo sijui nipate medali ya dhahabu au bronze. Nimesoma kivyangu, nimeelimika kivyngu ila mimi siyo BASHITE I can discuss matters which arise. Amigo!!
 
Hueleweki una focus hasa wapi.....
Mara unanisifia, kisha tena unanipondea.

Ushajiuliza kwanini Mh Raisi 98% ya watendaji wake wakuu anawateua kutoka Pool ya Lecturers wa UDSM??

UDSM ni baba la baba lao.
Bro una umri gani asee,,, coz tusije kua tunamaliza vidole vyetu hapa tukipigizana kelele na mtu aliye kwenye that Foolish age...!!! Nikushauri tu,,,Kakue uweze kuchanganua mambo then you comeback...!!!

Na kwa design hiii,, Am real scared with our educated people,, They might be posing a very serious problem in our community thinking they are bringing a + one....!!!
 
Hueleweki una focus hasa wapi.....
Mara unanisifia, kisha tena unanipondea.

Ushajiuliza kwanini Mh Raisi 98% ya watendaji wake wakuu anawateua kutoka Pool ya Lecturers wa UDSM??

UDSM ni baba la baba lao.
Mimi naamini katika Juhudi binafsi, chuo ni kituo tu cha kufanyia mitihani.
 
Back
Top Bottom