Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu.

Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana.

Haijalishi miaka mingapi imepita, Fanya YAFUATAYO Ili uwe Salama
1) kuwa mtu wa ibada
2) Epuka ukaribu wa kubakia watu wawili tu katika Mazingira ambayo watu hawapo.
3.) Nafsi yako ijaze na neno la Mungu badala ya hao viumbe
4) Futa namba za simu/ mawasiliano mengine,meseji Moja unaweza kukutoa relini
5) Usipende kufuatilia ishu zake,Kwa rafiki zake,mtandaoni etc mind your own business
6)Kuwa kwenye campany ya mtu mwingine ikibidi kuonana naye .
7) Weka sura ya kazi mkionana naye Kwa bahati mbaya.usicheke na kima.

Be blessed, mmoja anaweza vuka hapo.
Yani nifanye hayo yote ili nisile kitumbua cha ex? Haiwezekani kama bado mzuri na hatukuachana vibaya lazima nimuombe kidogo

Afterall tulishaunganika kiroho kama ulivyosema
 
Kuna Wakati hutapenda kuchanganya madesa,mother house akigundua ni Shida
 
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu.

Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana.

Haijalishi miaka mingapi imepita, Fanya YAFUATAYO Ili uwe Salama
1) kuwa mtu wa ibada
2) Epuka ukaribu wa kubakia watu wawili tu katika Mazingira ambayo watu hawapo.
3.) Nafsi yako ijaze na neno la Mungu badala ya hao viumbe
4) Futa namba za simu/ mawasiliano mengine,meseji Moja unaweza kukutoa relini
5) Usipende kufuatilia ishu zake,Kwa rafiki zake,mtandaoni etc mind your own business
6)Kuwa kwenye campany ya mtu mwingine ikibidi kuonana naye .
7) Weka sura ya kazi mkionana naye Kwa bahati mbaya.usicheke na kima.

Be blessed, mmoja anaweza vuka hapo.
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom