kuzini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo. Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
  2. M

    Haji Manara hajawahi kuzini

    Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA
  3. Kiboko ya Jiwe

    Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  4. Mr Why

    Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

    Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake. Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji. Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni...
  5. NostradamusEstrademe

    Kanisa laahirisha ndoa baada ya watarajiwa kukiri kuzini

    ''Asiye na dhambi awe wa kwanza kuokota mawe na kuwapiga hawa watuhumiwa''.........mwisho wa kunukuu sasa endelea na story ====== Bibi na Bwana harusi watarajiwa wamejikuta wakishindwa kufunga pingu za maisha baada ya Kanisa kukataa kuwafungisha ndoa kutokana na kile kinachodaiwa walishiriki...
  6. JanguKamaJangu

    Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu. Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
  7. Surya

    Ngono (kuzini), faida na hasara zake

    Nitajitahidi nieleze hili kwa kifupi nisiwachoshe, naomba wakosoaji mje na ushahidi usije kukosoa hapa kwa vijimaneno ulivyobebeshwa na katekista au shehe wako huko bila kusoma mwenyewe. Nianze kwa andiko la Bwana wetu Yesu kristo alipoulizwa kuhusu kuzini. Mathayo 5:27-28 [27]Mmesikia kwamba...
  8. Bess

    Wanaita ndoto nyevu, ni sayansi inayochochea kuzini na mapepo

    Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa. Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo wakiwa wamelala. Kijana anaona msichana mzuri, amevua nguo na kisha analala naye akiamka anachukulia...
  9. Pisi kali

    Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

    Habari zenu wanaJF Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39]) Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja. Suala lililonileta kwenu. Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto...
  10. kidawisee

    Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

    Habari za mida hii ndugu zangu Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua. Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma...
Back
Top Bottom