Nikiwaza ni adhabu ya kuchomeka milele, naishiwa pawa 🥹 DemiNa huo udhaifu ndo dhambi yenyewe adhabu yake ni kuchomwa moto wa jehanam
Nikiwaza ni adhabu ya kuchomeka milele, naishiwa pawa 🥹 DemiNa huo udhaifu ndo dhambi yenyewe adhabu yake ni kuchomwa moto wa jehanam
Aliyeweka mema na mabaya ni yeye mwenyewe Muumbaji ili ladha halisi ya maisha isomeke.Hivi tunaposema katuumba kwa mfano wake inamaanisha sifa hizi tulizonazo binadamu yeye si anazo kama ukatiri, jeuri, chuki, dharau, wema, furaha n.k?
Kama alitupenda kwanini alituwekea dhambi, mateso na shida?Ukisoma kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia utagundua kuwa alitupenda sana,na akatupa vitu vyote vizuri bali dhambi zetu ndio zilisababisha leo tunapitia tabu na haya mateso,lkn bado anatuwazia mema,something good is yet to come,keep on living the promises of God hautajutia kamwe...
Najua unataka majibu mepesi kwa mtindo wa kudandia,soma Biblia vizuri na uielewe,utapata majibu ya mswali yako yote...Kama alitupenda kwanini alituwekea dhambi, mateso na shida?
Ndo sisi tutabadilika na kuwa mabikra?Kwani si nimesikia mtakuwa na mabwana huko wa kuwakula? Vipi hamtafaidi
Mi nikifika huko sitaki kuliwa, ningependa nipumzike kwa kunywa pombe tuNiliwahi kusikia hivyo kwasababu mwili uliochezewa si umeshaharibika kule unakuwa na mwili mwingine mpya 😂😂
Kumbuka atapewa mabikra 72, unadhani atanitaka tena mimi😅😅😅 inawezekanaje usiwe ili bwana wako apate wapi raha
Hii ndo maana halisi ya Great thinker, lazima kichwa kifanye kazi!Maisha ni fumbo.
Maisha ya duniani yalikuwa ni zawadi na sio adhabu, changamoto ni binadamu kutaka kuishi against nature, hapo ndipo mateso yanapo anzia.
Swali: Unauhakika gani kwamba upo duniani?
Umeshawahi kuota ndoto na ukajiona upo huko ndotoni? What if na hapa upo ndotoni na pengine ukifa hapa ndo unaamka kutoka usingizi uliokuwapo?
Mi bana staki tena kwichikwichi nimechoka. Nitakuwepo counter nagawa pombeWewe utakuwa miongoni mwa hao 72 na wote mtapewa huduma stahiki hasa wewe🏃
😂😂Tumekuja kuteseka na kutenda dhambi tukifa akatuchome moto, ndo starehe yake