Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.

Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!

Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?

Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?

Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?

Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Mifano michache ya mikwaju...
Screenshot_20260508-005419.png
Screenshot_20260508-005359.png
 
Not sure why you were hoodwinked that easily. Fazafaka alionekana mapema sana kwamba ascension yake ilikuwa mkenge mkubwa kwa Taifa. Speaker Ndugai was her first victim in those early days!

Yule bi+ch alitumia sehemu kubwa ya kipindi chake cha kwanza kujisafishia njia ya kuingia kipindi cha pili. She was ruthless then and so has she remained. Uliona kilichotokea in 2025. Alijiteua mwenyewe and ultimately she ran against herself!
Tatizo ni ukimya wa WaTanganyika...
 
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.

Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!

Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?

Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?

Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?

Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Piga Risasi, baka, Ua
 
Kwa hivyo kwa 'akili' yake kwamba akifanya hv ndo wananchi watamkubali??
Mbona alifanya hayo yoote na bado kura wakamnyima?!.
Hapana, siyo "kumkubali"

Hata yeye anajuwa matendo hayo hayamfanyi akubalike, ila kinyume chake ndiyo sahihi; na anajuwa.

Maana ya "Kuua, kuteka, kutesa" ni njia ya kuwatia watu hofu, waogope na wasithubutu tena kuhoji kwa njia yoyote matendo maovu wanayofanyiwa.

Lakini sasa ni wazi kabisa, waTanzania hawaogopi, na badala yake wanazidi kuwa ngangari. Ni swala la muda tu, huyu mwovu na Genge lake atafagiliwa mbali na hasira za hawa waTanzania kuwaharibia nchi yao iliyosifika miaka na miaka kuwa nchi ya amani na upendo.
 
No, wasn't personally; but that was the perception widely shared at the time.

The only time I was almost caught in her spells was when she visited Tundu Lissu in a Nairobi hospital. I was touched by her sense of acting regarding the empathy she was displaying in the video. resulting from the visit.

If I had time, I would go back and find the video, and the subsequent shows that followed from that time up to todate, to show the evolution of this human devil amongst us!

I believe that would be a very good history lesson for everyone.
 
kwamba ascension yake ilikuwa mkenge mkubwa kwa Taifa. Speaker Ndugai was her first victim in those early days!
No.
You've to rewind the reel to the very beginning, when she was still talking about "maridhiano" that pulled Freeman Aikael Mbowe beneath an eighteen wheeler!
 
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.

Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!

Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?

Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?

Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?

Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Mkwaju ni aina ya mti
 
Samia yupo ktk hatua za mwisho kibri kimepanda kichwani!I have a feeling she will soon fall!
Mwanamke katili kabisa ktk historia ya dunia!
 
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?✍🏿
 
sasa ndugu akili kubwa mihemko nonsense ya nini sasa?

si utumie akili yako kubwa kujadili masuala kuliko kumbwelambwela na kujipiga kifua jukwaani?

kwani kau CCM au kutokua CCM kunakuondolea uhuru na haki yako ya maoni, ndugu akili kubwa?
Tatizo kubwa kuwa na watu kama wewe katika nchi hii unafikiri unamiliki uhuru na mawazo ya watu, tuko huru kufikiri na kuona kipi kizuri kipi kibaya. Ndani ya uwanja au nje ya uwanja tunapinga uchawa na kujipendekeza hili kupata utwuzi.
 
Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Kuna muda najitikisa nikidhani niko ndotoni
 
yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,

haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Je katiba imesema hayo maneno unayosema ?? Kuna mahali imetaka wachapwe watu viboko?? Je unaweza vunja katika katika kuilinda katiba? Sikujui hunijui ila nauhakika wewe ni kilaza shuleni
 
Samia yupo ktk hatua za mwisho kibri kimepanda kichwani!I have a feeling she will soon fall!
Mwanamke katili kabisa ktk historia ya dunia!
Na mwisho wake utakuwa wa aibu kubwa sana.

Najaribu kukumbuka katika historia baadhi ya viongozi waliofikia ukomo wao kwa aibu kubwa.
Namkumbuka yule wa Romania Chachesku; namkumbuka Idd Amin Dada; namkumbuka Saddam Hussein.

Lakini katika hawa wote, aibu itakayomwandama huyu Samia itakuwa ni ya kipekee sana; kwa sababu waTanzania wenyewe ndio watakaomwonyesha ni jinsi gani hasa walivyofikia katika kiwango cha chuki dhidi yake kwa uovu aliowafanyia..

Huyu anaweza kuwekwa mahali hadharani akiwa mzima, mbele ya umati wa waTanzania na kusikiliza waliyonayo mioyoni mwao juu ya machukizo aliyofanya juu yao.

Siku hiyo inakuja.
 
Wazanzibar wasipewe tena nchi ni wauaji
Hii ni bahati mbaya sana, kuwa na mfano mbovu kama Samia Suluhu Hassan kuwa mwakilishi wa eneo lote la Zanzibar.
Binafsi siamini katika kurundika watu wote kwa kutumia mfano mbovu kabisa kama huu wa Samia.

Ndiyo, kuna kundi lenye tabia hizi za huyu mwanamke Zanzibar, ambalo limejitokeza na kuwa mbele kiasi cha kufanya waZazibar wote wawe kwenye kapu hilohilo moja la wabovu.
 
Mkwaju ni aina ya mti
Mkongojo?
Aina ya kifimbo cha kuegemezea uzito kuzuia maumivu ya viungo mtu atembeapo?
Au, aina ya kifimbo kinachotumika kama mtindo (fashion) wa umwinyi?
 
Tatizo ni ukimya wa WaTanganyika...
Hapana.
WaTanganyika si wakimya; ila tatizo ni kukosa njia za kuunganisha visauti vyao kwa pamoja visikikike kwa ukubwa zaidi.

Nakuhakikishia, pakitokea leo hii njia ya kuunganisha kwa pamoja manyanyaso yanayowakabili mioyoni mwao na kuyaelekeza kwenye nguvu ya kukataa kunyanyaswa, hakuna jeshi linaloweza kuizuia nguvu hiyo kuwafagilia mbali watu duni kabisa kama Samia na wengine walio nyuma yake.

Sasa hivi tupo katika hali ya juu kabisa ya hiyo nguvu kulipuka.
 
Back
Top Bottom