Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

Punguza Upuuzi Kwenye Utu,,Heshimu Utu,,Jali Utu Jetlomeni....
utu ni jambo la maana sana kwa kila mwanadabu,
lakini jambo muhimu sana mpaka mwanadamu afikie hali ya kujali utu ni kua na adabu,

kama huna adabu, huwezi kujali utu wa mwingine na kwahivyo ni lazima uadabishwe
 
sijapenda unavyowapiga kamba vijana na wazee wa JF,

na wenyewe wasivyojielewa wapo kama minyumbu inafuata mkumbo tu kukubali kamba zako
Wewe umejitoa nilivyokupiga kamba mpaka ukanihusudu? 😹😹😹

Wewe ilitakiwa nikuchune vipesa vyako huenda ungeniheshimu sasa hivi..!! 🤣
 
Ni kama alivyo fanya MO29.
Kuteka, kutesa, kuua, kulawiti, kufunga na vingine vingi vinavyofanania na hivyo.

Kwa sababu yeye ni mkuu wa nchi.

Lakini angekua mzazi wako anakuambia hivyo ungejua ni viboko na kazi ngumu.
 
Ni kama alivyo fanya MO29.
Kuteka, kutesa, kuua, kulawiti, kufunga na vingine vingi vinavyofanania na hivyo.

Kwa sababu yeye ni mkuu wa nchi.

Lakini angekua mzazi wako anakuambia hivyo ungekua ni viboko na kazi ngumu.
Kapewa hiyo ruhusa na nani?
 
Kwa hiyo mnategemea kukaa madarakani kwa kuuwa watu milele? Hata kama utapa dunia yoote lakini iko siku moja utaondoka tu.
Gentleman,
hakuna mbadala wala dalili za kua na mbadala wa serikali sikivu ya CCM nchi hii.

hizo ramli nonsnse mkatishane na kudanganyana na washirikina wenzenu huko na sio humu jukwaani
 
Gentleman,
hakuna mbadala wala dalili za kua na mbadala wa serikali sikivu ya CCM nchi hii.

hizo ramli nonsnse mkatishane na kudanganyana na washirikina wenzenu huko na sio humu jukwaani
Kwa akili yako ndogo unafikiri kila anayepinga humu ndani sio Mwana CCM?
 
Kwa akili yako ndogo unafikiri kila anayepinga humu ndani sio Mwana CCM?
sasa ndugu akili kubwa mihemko nonsense ya nini sasa?

si utumie akili yako kubwa kujadili masuala kuliko kumbwelambwela na kujipiga kifua jukwaani?

kwani kau CCM au kutokua CCM kunakuondolea uhuru na haki yako ya maoni, ndugu akili kubwa?
 
Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Kabisa madaraka ni kitu kibaya sana Samia hacheki, yeye ni kukasirika tu mda woote,hata Magufuli alikuwa na katabasam flani hivi, na kufanya utani inapobidi,wakulaumiwa ni hii mijityu ya Tanganyika inayokubali kubuluzwa na kina Kombo.
 
utu ni jambo la maana sana kwa kila mwanadabu,
lakini jambo muhimu sana mpaka mwanadamu afikie hali ya kujali utu ni kua na adabu,

kama huna adabu, huwezi kujali utu wa mwingine na kwahivyo ni lazima uadabishwe
Jitafakari Sasa Jetlomeni...,Je Ni Adabu Kuita Watu Wafugwaji...??
 
yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,

haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Wewe ni maiti; hapana mzoga wa nguruwe ambao nguruwe wengine wanaushambulia kwa kuula.
Huna faida yoyote mahali popote.

Kila mara ni wajibu wangu kukumbusha hiloi.
 
ukilete kiburi na kushupaza shingo kwa ubishi useless usilaumu sikukushauri.
Pamoja na "umzoga" wako; nakusihi sana umfikishie taarifa hiyo uliyoandika hapo Samia Mhalifu. Hili linamnyemelea sana. Pengine ukimfikishia taarifa hiyo, atapata fursa ya kufanya uamzi haraka wa chaguo la kutimkia kwa wajomba zenu Oman haraka, kabla mikono ya waTanzania haijamfikia.
'Options' mbili zilizobaki zote siyo rafiki kwake hata kidogo.
WaTanzania wakiamua wenyewe, 'option' yake kufia jela bila ya uwezekano wa kutoka huko ipo wazi kabisa kutekelezwa.
Asipopata 'option' hiyo ya waTanzania, mwisho wake ni mauti tu ya aibu. Mzoga wake utaburuzwa mitaani huku wananchi wakishangilia..

Fanya hima mapema, mfikishie options hizo.
 
Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Not sure why you were hoodwinked that easily. Fazafaka alionekana mapema sana kwamba ascension yake ilikuwa mkenge mkubwa kwa Taifa. Speaker Ndugai was her first victim in those early days!

Yule bi+ch alitumia sehemu kubwa ya kipindi chake cha kwanza kujisafishia njia ya kuingia kipindi cha pili. She was ruthless then and so has she remained. Uliona kilichotokea in 2025. Alijiteua mwenyewe and ultimately she ran against herself!
 
Back
Top Bottom