Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,

haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
gentleman ninawaza kama una maanisha unachokisema Kweli, au unaongea unafiki huku ukijua wazi huenda kuna maana nyingine?
 
"Mkuu wa nchi" huruhusiwa kufanya hayo maovu uliyoyataja hapo?

Hivi unafikiri sawasawa, au na wewe hazitoshi kichwani kama alivyo yeye?

Hivi vitendo hufanywa na "wakuu wa nchi" gani ?
Malawi
 
gentleman ninawaza kama una maanisha unachokisema Kweli, au unaongea unafiki huku ukijua wazi huenda kuna maana nyingine?
Gentleman,
ebu jitokeze na walau ukose adabu hata inaposhushwa au kupandishwa bendera ya taifa tu, halafu tuone utachapwa kimzaha au kwa kumaanisha
 
Gentleman,
ebu jitokeze na walau ukose adabu hata inaposhushwa au kupandishwa bendera ya taifa tu, halafu tuone utachapwa kimzaha au kwa kumaanisha
basi sawa ila ni kauli tata ambayo inamfanya mtu kujenga picha na tafsiri yake kumbe ingeweza kueekezwa kwa maneno ya moja kwa moja
 
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.

Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!

Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?

Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?

Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?

Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Mi nijuavyo zanzibar mikwaju ni bakora ile fimbo ya kuchapia kama shule hivyo ni lisahiki tuu katymia hajamaanisha vingine
 
According to street Dictionary Mkwaju ni noun: Bunduki Chuma, Gun, Manati ya Mzungu
 
Mi nijuavyo zanzibar mikwaju ni bakora ile fimbo ya kuchapia kama shule hivyo ni lisahiki tuu katymia hajamaanisha vingine
Lakini si mifano ya "watoto watundu" kama akina Mdude Nyagali na wengi wengine tunajuwa yaliyowatokea?

Au hawa watundu wa "kuchapwa mikwaju", sasa na wao watakuwa kama hao watoto wa shule wa huko Zanzibar?
 
Kwa hiyo "Malawi" ndicho kigezo tunachotakiwa kukifuata Tanzania!
Pengine ndo hivyo sasa wakati anaua watu alitumia kigezo gaani!!?

Katiba!? Au mtizamo binafsi!!?
Kulipa kisasi kwa tukio la Mzee mkapa kipindi kile!!?
Au kushauriwa vibaya!!?
 
basi sawa ila ni kauli tata ambayo inamfanya mtu kujenga picha na tafsiri yake kumbe ingeweza kueekezwa kwa maneno ya moja kwa moja
utata hutokea zaidi kwa wafuata mkumbo ambo wengi wao vichwa vyao vinawaza nonsense tupu
 
Pengine ndo hivyo sasa wakati anaua watu alitumia kigezo gaani!!?

Katiba!? Au mtizamo binafsi!!?
Kulipa kisasi kwa tukio la Mzee mkapa kipindi kile!!?
Au kushauriwa vibaya!!?
Malawi hawajawahi kuwa na mauaji ya aina aliyofanya Samia. Sijui kwa nini umewataja hapa.

Kwani wewe bado hujui kwa nini Samia aliua?
Aliua watu ili aendelee kukaa madarakani kwa nguvu akitawala watu wenye hofu kubwa wasioweza kuhoji lolote afanyalo yeye.
Inanibidi nikushangae kidogo kama ulikuwa hujui hili.
 
Hapana.
WaTanganyika si wakimya; ila tatizo ni kukosa njia za kuunganisha visauti vyao kwa pamoja visikikike kwa ukubwa zaidi.

Nakuhakikishia, pakitokea leo hii njia ya kuunganisha kwa pamoja manyanyaso yanayowakabili mioyoni mwao na kuyaelekeza kwenye nguvu ya kukataa kunyanyaswa, hakuna jeshi linaloweza kuizuia nguvu hiyo kuwafagilia mbali watu duni kabisa kama Samia na wengine walio nyuma yake.

Sasa hivi tupo katika hali ya juu kabisa ya hiyo nguvu kulipuka.
Watu wa hivyo ni wabaya sana! Ngoja tuone hatma yake itakuwaje!
 
Back
Top Bottom