DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,579
- 10,272
Hii ngoma jamaa amepiga kiufundi utafikiri Penalty za Zinedine Zidane...MWEZI WA SABA WA @brittanicca unapasuka pasuka Kwa namna njema kabisa.

Hakika,Na Kwa hakika tutarajie mengi.Hii ngoma jamaa amepiga kiufundi utafikiri Penalty za Zinedine Zidane...
Basi sawa...! Kwahiyo wahuni na wenye tabia chafu wanaweza kuteuliwa kwenye nafasi nyeti kimataifa kama ubalozi?Mzee ambaye hana mke wala mtoto mtu wa ulawiti nani atakuwa nyuma yake zaidi ya laaana. Cuba kumemfaa dawa ameacha kupauka pauka
Watakuwa walizungumzia ubovu wa bodi na Uzima wa injini🤣🤣View attachment 3406001
Hivi tushajua hawa wazee walizungumza nini hii siku??
polepole ni stupidy na kayakanyaga, this time atatesema sana, wasiomfahamu wanamsifia, huyo ni SNITCHHili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba
Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za kujiuzulu.. Kawa muwazi sana sana na kanyoosha maelezo bila kutumia lugha laini ya kidiplomasia
Kuna wanaojaribu kupooza fukuto kwa kusema ile barua ya kujiuzulu ni bandia, huku wengine wakidai hajaandika yeye bali imeandikwa na "wanaharakati" kina huyu Lucas yeye kaenda mbali zaidi kwa kusema eti ataijibu barua ya Polepole.. Sasa sijui kwa mamlaka yapi na kwa vigezo gani.. Kwakuwa ile sio barua ya posa kwamba inahitaji majibu
Mfahamu Pole pole yule wa bunge la katiba... Si sehemu ya mfumo.. Alivutwa kwa nguvu na mwendazake.. Na mambo yalipobadilika, akionekana ni team JPM akawa ni kati ya waliotolewa kwenye mfumo wa sasa! But a short time to live!
Safari ya kutolewa chamani mpaka Malawi halafu baadae Cuba ina simulizi yake ambayo hitimisho lake ni hili tukio la leo
Sababu alizotoa zimenyooka sana. Kaongea lugha ya CHADEMA kwa kwa tune nyingine.. Nafasi aliyokuwa nayo kipindi cha mwendazake ni wazi alikutana na wakubwa wenye mitazamo inayofanana na kwa vyovyote walitengeneza bond!
Kitendo cha kujiuzulu akiwa kazini na barua yake kusambaa mitandaoni.. Kina tafsiri yake pia.. Na ukizingatiq kafanya hivyo siku ya weekend tena mchana kuelekea adhuhuri
Cuba ni nchi rafiki na Tanganyika. Kuna hatari na nusu kufanya alichofanya akiwa ndani ya Cuba hata Kama ni weekend
Kwa maneno ya moja kwa moja ni kwamba kaasi.. Na hayuko ofisini kwake Cuba
Kwa barua ile na kwa hali ilivyo ni wazi hawezi kamwe kurejea nchini kwa sasa.. Je yuko wapi? Kwa hadhi gani? Ya ukimbizi?
Ni wazi kuna jambo ana hakika nalo, na lina backup ya vivuli visivyojulikana kwasasa.. Huku ndio nyumbani kwake hivyo hawezi kukaa ukimbizini ama mafichoni kwa muda mrefu
Nice wazi hii ni project ya kikundi cha watu ndani ya mfumo.. Lakini je mfumo haukuwa na hizi taarifa? Au kitakachotokea?
Hata kama haitatamkwa hadharani.. Lakini kayatimua maji vibaya sana! Chekeche litaanza maramoja kutafuta walio nyuma yake na mipango yao...
Kwasasa zinapimwa athari za uamuzi wake kishapo itakuwa ni zamu ya kujibu mapigo...!
Banda ya barua yake ya kujiuzulu je atakaa kimya.. Ama ndio itakuwa mwanzo wa kutapika nyongo kwa uhuru?
Yajayo ni Mengi
Good night TanganyikaView attachment 3404860
Swali langu mkuu kwa bwana Taratibu ni je ameona Nini Cha tofauti kati ya mfumo uliopita wa Mshua Joh na huu wa Leo? Coz mifumo yote ya yule na huyu tabia mbaya zimeendelea kupotea, kuuawa, nk?Mla mla jana,mla leo kala nini?Maswali mengine utashindwa kutetewa hata na roboti Mushaambaa& co
polepole ni stupidy na kayakanyaga, this time atatesema sana, wasiomfahamu wanamsifia, huyo ni SNITCH
[URL unfurl="true" media="you
Zuga tuu!Kikubwa kabaki ccm ishukuriwe hilo pia(ataendelea kuwa mtiifuuuu
Kumbuka enzi za utawala wa JIWE alikuwa ni mwasisi wa UCHAWA, akina baba LEVO ni graduates wakeHili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba
Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za kujiuzulu.. Kawa muwazi sana sana na kanyoosha maelezo bila kutumia lugha laini ya kidiplomasia
Kuna wanaojaribu kupooza fukuto kwa kusema ile barua ya kujiuzulu ni bandia, huku wengine wakidai hajaandika yeye bali imeandikwa na "wanaharakati" kina huyu Lucas yeye kaenda mbali zaidi kwa kusema eti ataijibu barua ya Polepole.. Sasa sijui kwa mamlaka yapi na kwa vigezo gani.. Kwakuwa ile sio barua ya posa kwamba inahitaji majibu
Mfahamu Pole pole yule wa bunge la katiba... Si sehemu ya mfumo.. Alivutwa kwa nguvu na mwendazake.. Na mambo yalipobadilika, akionekana ni team JPM akawa ni kati ya waliotolewa kwenye mfumo wa sasa! But a short time to live!
Safari ya kutolewa chamani mpaka Malawi halafu baadae Cuba ina simulizi yake ambayo hitimisho lake ni hili tukio la leo
Sababu alizotoa zimenyooka sana. Kaongea lugha ya CHADEMA kwa kwa tune nyingine.. Nafasi aliyokuwa nayo kipindi cha mwendazake ni wazi alikutana na wakubwa wenye mitazamo inayofanana na kwa vyovyote walitengeneza bond!
Kitendo cha kujiuzulu akiwa kazini na barua yake kusambaa mitandaoni.. Kina tafsiri yake pia.. Na ukizingatiq kafanya hivyo siku ya weekend tena mchana kuelekea adhuhuri
Cuba ni nchi rafiki na Tanganyika. Kuna hatari na nusu kufanya alichofanya akiwa ndani ya Cuba hata Kama ni weekend
Kwa maneno ya moja kwa moja ni kwamba kaasi.. Na hayuko ofisini kwake Cuba
Kwa barua ile na kwa hali ilivyo ni wazi hawezi kamwe kurejea nchini kwa sasa.. Je yuko wapi? Kwa hadhi gani? Ya ukimbizi?
Ni wazi kuna jambo ana hakika nalo, na lina backup ya vivuli visivyojulikana kwasasa.. Huku ndio nyumbani kwake hivyo hawezi kukaa ukimbizini ama mafichoni kwa muda mrefu
Nice wazi hii ni project ya kikundi cha watu ndani ya mfumo.. Lakini je mfumo haukuwa na hizi taarifa? Au kitakachotokea?
Hata kama haitatamkwa hadharani.. Lakini kayatimua maji vibaya sana! Chekeche litaanza maramoja kutafuta walio nyuma yake na mipango yao...
Kwasasa zinapimwa athari za uamuzi wake kishapo itakuwa ni zamu ya kujibu mapigo...!
Banda ya barua yake ya kujiuzulu je atakaa kimya.. Ama ndio itakuwa mwanzo wa kutapika nyongo kwa uhuru?
Yajayo ni Mengi
Good night TanganyikaView attachment 3404860
Anasikilizia mashambulizi akiwa home groundZuga tuu!
Hakika sinema ni zile zile wanabadilika wahusika,chadema watasusia uchaguzi utatengenezwa upinzani hewa na hawa wana CCM wanainanga sirikali na wananchi kuwaona wazalendo kumbe ni mipango ya mfumo.Calculation
Script
Lowasa
Mrema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
Uwezo wa watanzania kufikiri ni mdogo sana wana vichwa vikubwa akili ni punje ya limao
the end shall justify the meansHakika sinema ni zile zile wanabadilika wahusika,chadema watasusia uchaguzi utatengenezwa upinzani hewa na hawa wana CCM wanainanga sirikali na wananchi kuwaona wazalendo kumbe ni mipango ya mfumo.
Marehemu mchungaji mtikila aliona mbali kuleta hoja ya mgombea binafsi hii ingekata maslahi ya hivi vikundi na magenge kwa majina ya vyama vya siasa.
Balozi unapewa kufichwa pia, wote wasiotakiwa hata jeshini wanapewaga ubaloziBasi sawa...! Kwahiyo wahuni na wenye tabia chafu wanaweza kuteuliwa kwenye nafasi nyeti kimataifa kama ubalozi?
umeona mbali.. .. !Calculation
Script
Lowasa
Mrema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
Uwezo wa watanzania kufikiri ni mdogo sana wana vichwa vikubwa akili ni punje ya limao
Kaomba hifadhi ya ukimbizi SwedenHili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba
Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za kujiuzulu.. Kawa muwazi sana sana na kanyoosha maelezo bila kutumia lugha laini ya kidiplomasia
Kuna wanaojaribu kupooza fukuto kwa kusema ile barua ya kujiuzulu ni bandia, huku wengine wakidai hajaandika yeye bali imeandikwa na "wanaharakati" kina huyu Lucas yeye kaenda mbali zaidi kwa kusema eti ataijibu barua ya Polepole.. Sasa sijui kwa mamlaka yapi na kwa vigezo gani.. Kwakuwa ile sio barua ya posa kwamba inahitaji majibu
Mfahamu Pole pole yule wa bunge la katiba... Si sehemu ya mfumo.. Alivutwa kwa nguvu na mwendazake.. Na mambo yalipobadilika, akionekana ni team JPM akawa ni kati ya waliotolewa kwenye mfumo wa sasa! But a short time to live!
Safari ya kutolewa chamani mpaka Malawi halafu baadae Cuba ina simulizi yake ambayo hitimisho lake ni hili tukio la leo
Sababu alizotoa zimenyooka sana. Kaongea lugha ya CHADEMA kwa kwa tune nyingine.. Nafasi aliyokuwa nayo kipindi cha mwendazake ni wazi alikutana na wakubwa wenye mitazamo inayofanana na kwa vyovyote walitengeneza bond!
Kitendo cha kujiuzulu akiwa kazini na barua yake kusambaa mitandaoni.. Kina tafsiri yake pia.. Na ukizingatiq kafanya hivyo siku ya weekend tena mchana kuelekea adhuhuri
Cuba ni nchi rafiki na Tanganyika. Kuna hatari na nusu kufanya alichofanya akiwa ndani ya Cuba hata Kama ni weekend
Kwa maneno ya moja kwa moja ni kwamba kaasi.. Na hayuko ofisini kwake Cuba
Kwa barua ile na kwa hali ilivyo ni wazi hawezi kamwe kurejea nchini kwa sasa.. Je yuko wapi? Kwa hadhi gani? Ya ukimbizi?
Ni wazi kuna jambo ana hakika nalo, na lina backup ya vivuli visivyojulikana kwasasa.. Huku ndio nyumbani kwake hivyo hawezi kukaa ukimbizini ama mafichoni kwa muda mrefu
Nice wazi hii ni project ya kikundi cha watu ndani ya mfumo.. Lakini je mfumo haukuwa na hizi taarifa? Au kitakachotokea?
Hata kama haitatamkwa hadharani.. Lakini kayatimua maji vibaya sana! Chekeche litaanza maramoja kutafuta walio nyuma yake na mipango yao...
Kwasasa zinapimwa athari za uamuzi wake kishapo itakuwa ni zamu ya kujibu mapigo...!
Banda ya barua yake ya kujiuzulu je atakaa kimya.. Ama ndio itakuwa mwanzo wa kutapika nyongo kwa uhuru?
Yajayo ni Mengi
Good night TanganyikaView attachment 3404860
Kuna mtu Tz anayependa anasa kama bibi wa Morden Taarabu na mipasho?ilikua atumbuliwe akiwa anakula bata Los Angeles USA alipokua akifuja mali za umma kwa ufuska na anasa kila wikiendi, hata hivyo aanze amazoezi ya kusota korokoroni kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi huko havana![]()