Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Taratibu ni mtu wa kushangaza sana. Kipindi kilichopita kabla ya hiki alikuwa katika mfumo uliopingwa na wengine. Mfumo ambao ndani yake wameumia wengine!
Huyu mtu haikuwahi kuinua mdomo kukemea moto aliopelekewa Lisu nk. Ni mengi alitakiwa kupigania kabla ya hili la Leo!
Lazima tujiulize je mfumo huu una tofauti gani na ule,? Na kwanini aukimbie licha ya kuwa na
Mla mla jana,mla leo kala nini?Maswali mengine utashindwa kutetewa hata na roboti Mushaambaa& co
 
Kilitokea nini?
Siasa za ndani ya Chama umewahi kushuhudia hakuna kuchukua Fomu watu wanapitishwa juu kwa juu? Japo wa kulaumiwa ni Jakaya maana pale yeye ndiyo alikuwa senior, lakini anatengeneza njia ya kina Ridhione basi akaunga mkono hoja........ile movement iliyofanyika pale,kwa maoni yangu ndiyo inachemka chini kwa chini,maana wengi ilikuwa surprise 😀
 
Hili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba

Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za kujiuzulu.. Kawa muwazi sana sana na kanyoosha maelezo bila kutumia lugha laini ya kidiplomasia

Kuna wanaojaribu kupooza fukuto kwa kusema ile barua ya kujiuzulu ni bandia, huku wengine wakidai hajaandika yeye bali imeandikwa na "wanaharakati" kina huyu Lucas yeye kaenda mbali zaidi kwa kusema eti ataijibu barua ya Polepole.. Sasa sijui kwa mamlaka yapi na kwa vigezo gani.. Kwakuwa ile sio barua ya posa kwamba inahitaji majibu

Mfahamu Pole pole yule wa bunge la katiba... Si sehemu ya mfumo.. Alivutwa kwa nguvu na mwendazake.. Na mambo yalipobadilika, akionekana ni team JPM akawa ni kati ya waliotolewa kwenye mfumo wa sasa! But a short time to live!

Safari ya kutolewa chamani mpaka Malawi halafu baadae Cuba ina simulizi yake ambayo hitimisho lake ni hili tukio la leo

Sababu alizotoa zimenyooka sana. Kaongea lugha ya CHADEMA kwa kwa tune nyingine.. Nafasi aliyokuwa nayo kipindi cha mwendazake ni wazi alikutana na wakubwa wenye mitazamo inayofanana na kwa vyovyote walitengeneza bond!

Kitendo cha kujiuzulu akiwa kazini na barua yake kusambaa mitandaoni.. Kina tafsiri yake pia.. Na ukizingatiq kafanya hivyo siku ya weekend tena mchana kuelekea adhuhuri

Cuba ni nchi rafiki na Tanganyika. Kuna hatari na nusu kufanya alichofanya akiwa ndani ya Cuba hata Kama ni weekend
Kwa maneno ya moja kwa moja ni kwamba kaasi.. Na hayuko ofisini kwake Cuba

Kwa barua ile na kwa hali ilivyo ni wazi hawezi kamwe kurejea nchini kwa sasa.. Je yuko wapi? Kwa hadhi gani? Ya ukimbizi?

Ni wazi kuna jambo ana hakika nalo, na lina backup ya vivuli visivyojulikana kwasasa.. Huku ndio nyumbani kwake hivyo hawezi kukaa ukimbizini ama mafichoni kwa muda mrefu

Nice wazi hii ni project ya kikundi cha watu ndani ya mfumo.. Lakini je mfumo haukuwa na hizi taarifa? Au kitakachotokea?

Hata kama haitatamkwa hadharani.. Lakini kayatimua maji vibaya sana! Chekeche litaanza maramoja kutafuta walio nyuma yake na mipango yao...

Kwasasa zinapimwa athari za uamuzi wake kishapo itakuwa ni zamu ya kujibu mapigo...!
Banda ya barua yake ya kujiuzulu je atakaa kimya.. Ama ndio itakuwa mwanzo wa kutapika nyongo kwa uhuru?
Yajayo ni Mengi
Good night TanganyikaView attachment 3404860
Mzee ambaye hana mke wala mtoto mtu wa ulawiti nani atakuwa nyuma yake zaidi ya laaana. Cuba kumemfaa dawa ameacha kupauka pauka
 
Kwenye hii ngoma hayuko peke yake hata Osama mwenyewe pamoja na ubandidu wake hakuwahi kuunda Jeshi la peke yake, wote akina Fidel Castro, Che Guevara walishindwa kupigana peke yao..
 
Back
Top Bottom