Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Siku hizi mtu akisema ukweli wa kile anachoamini anaonekana adui.

Taifa limekuwa la hovyo machawa kila kona hata kama mambo hayako sawa wao ni kusifu sifu upumbavu .

Muhimu ujumbe umefika , Horace Kolimba (R.I.P) alisema hadharani CCM imepoteza Dira na ndiyo ukweli wenyewe.
 
 
 
Sasa ndio mmejua alikuwa peke yake, hakuna kikundi cha wazito wala nini
Hadi inatia huruma kwa jinsi mlivyokuwa mnamchochea
 
Back
Top Bottom