Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Wameanza kuja👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Wanakumbi.

Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM

Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni

sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi

Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi

*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
 
Yaani hii ya Polepole Gwajima cha mtoto,kapiga kama Iran ilivyoipiga Israel
 
Credit: Ritz
 
Kama ni unfit, maana yake kwasasa kitenfo cha vetting ni hovyo kabisa.
 
Lucas yeye ni mzee wa kudandia tu....hahaha
 
Kifupi tu ni NRNE.

Acheni maelezo meengi mnapoteza wino.
 
Wacha tuone tu
 
SIDHANI,kama wanamwomba aikatae pia siamini kama atakanusha siyeye kwa akiliyake iliyoandikwa baruani humo japo imooo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…