wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,281
Yaani kitendo cha makamu Rais kumtembelea mstaafu ambaye kila manung'uniko mabaya yako kwake kimezidi kushangaza pale wawili hao kuonekana ,pamoja na maneno kuwa makamu kaandika barua ya kujiuzulu mara kagoma yaani hakuna kinachojulikana kulikoni..
Kitendo cha makamu kwenda kumtembelea mstaafu kimezidi kutia baadhi wasiwasi kwa makamu kulingana na habari mbaya za nyuma za mstaafu.
Je!hii inatufundisha nini nyuma ya pazia kulikoni?wapo wanaosema makamu yuko kivyake na kashaamua liwalo na liwe wapo wanaosema zuga je!hili tuliweke/tulieweje,je ndio mpango wao kutuzuka watanzania?