Ni nani mnufaika wa machafuko iwapo yatatokea?

Ni nani mnufaika wa machafuko iwapo yatatokea?

Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?

Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?

Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?

Tutafakari
Mtaka machafuko ni ccm na serikali yake. Huwezi kuwa unateka watu na kuwapoteza halafu utegemee watu wakaye kimya huku wakiwa wanapotea mmoja mmoja!
 
Lissu hana mbadala!, Ila kuna mgombea mmoja tuu anayelipa, kamchague mgombea huyo!, tena nakuomba asikudangaye mtu usijitokeze kupiga kura Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!
P
.........kura tushapigiwa, atakayepiga na asiyepiga hawatofautiani.
 
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?

Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?

Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?

Tutafakari
Ni kweli hujuwi?
 
Nina mashaka makubwa na uraia wa baadhi ya viongozi wa juu.
Huenda sio raia wa Tanzania na hivyo hawana uchungu na taifa letu.
Nina uchungu sana na taifa langu na nikibahatika kumuona anayeliharibu niko tayari kufa naye.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mpaka hapo kama mwaribifu wa taifa lako hujuwi, ni dhahiri kuwa hata ukioneshwa sasahivi, kutokuwa na la kumfanya.
 
1000158584.jpg
 
.........kura tushapigiwa, atakayepiga na asiyepiga hawatofautiani.
Ni kweli tena ni mimi niliwatangazia humu matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2025 Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Tunachokwenda kufanya tarehe 29 ni kumthibitisha tuu kwa kwenda kutiki kuhalalisha mchakato.

Sioni uhusiano wa ushindi wa 29/10 inayohusiana na ushindi wa serekali za mitaa uliopita.
 
Kwa vile Lissu sio mgombea, nakushauri nenda kamchague mgombea mwingine yeyote, mfano hata sisi Wasukuma, tulipanga kura zetu zote kwa Mpina, Mpina akawa sio mgombea, sasa tutampa mgombea anayelipa!. Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige
P
Kwani mahakama ishatoa hukumu ya Mpina?

Au ni FUTUHI?
 
Sioni uhusiano wa ushindi wa 29/10 inayohusiana na ushindi wa serekali za mitaa uliopita.
Huu ndio udhaifu mkubwa sana katika siasa zetu, badala ya kufanya siasa za kimikakati tunafanya siasa za matukio!.

Uchaguzi mkuu wa 2015, CCM was the weakest, CHADEMA had a golden chance, but they wasted it kwa kukosa mikakati ya ushindi .

Uchaguzi wa 2020 aliyeshinda serikali za mitaa 2019 ndie ushindi wa 2020!

Na baada ya CCM kukomba kila kitu 2024, mshindi wa 2025 ni CCM!.

Ila kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Chadema had a golden opportunity kuibwaga CCM, but very unfortunately they were just too blind to see.
P
 
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?

Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?

Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?

Tutafakari
Drones za wanamtandao na wanamtandao!
 
Jingalao katika ubora wake na VPN.

Mimi nauliza nani mnufaika wa utekaji, mauaji, ufisadi, wizi wa kura?

Kwani umeshindwa kuvumilia hadi December 5 mjinga wao?
 
Jingalao katika ubora wake na VPN.

Mimi nauliza nani mnufaika wa utekaji, mauaji, ufisadi, wizi wa kura?

Kwani umeshindwa kuvumilia hadi December 5 mjinga wao?
Wewe mbona hujavumilia?
 
Wewe mbona hujavumilia?
Mimi sijahusika na kifungo cha jukwaa nilipo.

Tukirudi katika swali la msingi, nani mnufaika wa ufisadi, utekaji, mauaji , na wizi wa kura , kudhibiti ukosoaji iwe katika mitandao au vyombo vya habari ?

Maana Tanzania anayekemea utekaji ndio anaonekana hatari kuliko mtekaji.
 
Toa sababu za kutokea machafuko watu kuandamana tena katiba inatambua kabisa maandamano kwa hiyo maandamano ndo machafuko?
 
Back
Top Bottom