Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,309
Kuna ndoto nimeota ghafla, inasema; kutokana na Urusi kuwadindia EU kwenye suala la energy, ambayo kwa miaka mingi imekuwa injini ya uchumi wao, ni lazima watafute source nyingine reliable (sahel wamegoma).Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Nikastuka, kumbe ni ndoto tuu.