Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

16f96bc01b29cb167ca89f85ab2d39b5.jpg
niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
Wewe unaangali tako wenzio sura tu
 
Wakubwa wa hili jukwaa heshima kwenu,
Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na mjadala mzito kuhusiana na kifo cha Mrembo maarufu aliyepata kutokea huko Marekani bibie Marilyn Monroe.

Naamini humu kuna wajuvi mbalimbali, naombeni mnijuze ni kipi kilisababisha kifo cha Marilyn Monroe na akina nani waliratibu kifo hiko tata cha mrembo Marilyn Monroe? Karibuni mtupe mawili matatu...
Ana mchango gani katika maisha yako.. Na utakapojulishwa nini kitaongezeka katika maisha yako!
 
Please mkuu nihighlight kidogo niko tough sana ntatafuta hiyo doc nikitulia!

Only napenda kujuaga maagano/mikataba yao!

Eminem aliambiwaje?
Tafuta documentary ya DMX kilichomkuta...hana tofauti na Eminem
 
Kukutwa na pills kiasi hicho za Cocaine haitoi Maana kwamba alijiua!!Kwa professional killers hyo set up kuifanya Ni vyepesi sana,Inakua Ni ngumu pia kuamini hvyo kwakua Hyu mrembo alikua kiburudisho cha J.F.Kennedy,so obvious kiusalama haikua imekaa vzr sana kwakua angeweza kutumiwa na watu /mataifa mengine kusaidia udukuzi wa taarifa kadhaa nyeti za kiusalama,Kwa kifupi Alimalizwa NA watu wa s/kalini Kwa Sababu za kiusalama ZAIDI!!NA kuna matukio mengi ZAIDI ya US kufanya majaribio ya kutaka kuwaua maraisi wake au kuwaua KBS ili kulinDa jambo flani flani
 
anagalikuwa beki 3 wala yasingalimfika hayo.....uzuri wake umemponza..na mpaka leo bado wapo warembo ambao wanaumia\wamehumizwa na uzuri wao....ni kwasababu wamezama ktkt kuamini na uzuri wao na kuacha kujitambua..
 
Uko sahihi kabisaa
Mkuu uko sahihi! Ni drug overdose ! Nahisi alidhani siku moja angeweza kuchukua nafasi ya Jackie, lakini haikuwa hivyo. Ile siku alipomwimbia Rais Kennedy "Happy birthday, Mr. President" alionyesha fika hisia alizokuwa nazo. Ni mawazo yangu tu.
 
Back
Top Bottom