Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ila kwa Beyonce naamini asee..she sold her soul to them!

Sio kwa kupapatikiwa huku na walimwengu!....hata mi kajamba nani nampenda!
Hakuna kitu kama hicho.
Amini Duniani kwa binadamu kuzididiana kupo.Watawala wapu tu.Wenye bahati wapo tu.Mfano simba anatawala msituni.
Na pia mfano wa Beyonce kaanza kuwika kwa Jitihada zake binafsi Na kuamini kipaji alichonacho.Just Imagine alianza kuimba akiwa Na miaka 4 ..Nyumbani kwao enzi hizo akawa Na binamu zake akina Kelly wanaweka jukwaa Na watu wanakusanyika kuwaona.Alivyo leo ni jitihada binafsi ukichanganya akaoana Na MTU maarufu Jay-Z ambaye naye amekulia umaskini.But Vipaji vyao wakaamua kukomaa navyo.
WaTz tupunguze kuona kila aliyefanikiwa ni Illuminat kama ni simple hivyo nendeni Posta wapo mkajiunge nao tuwaone Na ninyi mkibadilika.
 
absolutely!
~ lengo lao kuu ni kutawala dunia na kila kilichomo through 'new world order' na moja kati ya 'tools' za ku-propagate hiyo NWO ni culture that's why wasanii influential celebrities wanatumika sana.
~wakishaona unawafaa wanaku-approach ukikubali wanakupa fame,money na mambo kama hayo ili wakutumie,ukikataa wanakukill epecially kama wanaona we ni threat katika mission zao eg. bob marley ila kama sio threat kivile wanaku frustrate tu kimaisha na kukufilisi eg mike tyson,dmx

siri! ukiwa member ni lazima utunze siri zao at any cost ukishindwa hilo au ukiwa expose 'death penalty' inakuhusu eg. michael jackson,2pac shakur,kanumba.

wanauana freshi tu katika stage ya 'initiation' sema tu wanafanya siri sana na wanatengeneza mazingira vifo vionekane natural deaths,ila ukiwa na ma degree mengi ya ushetani sio lazima uue blood.
Sijui mtaacha lini uongo.
Mfano Michael J ni maskin cancer.Kanumba alitelezaa......acheni hizo mambo
 
Mi nahisi itakuwa ni zile story za uzae mtoto ukiwa na miaka Fulani, kula na aina ya mavazi...hawa celebs huwaga wanapenda story za miscarriage ukute wanatoaga kafara sana

Beyonce kapata 5 miscarriage kiutani utani! Hivi hospital za Us zilivyo makini unapoteza mtoto kizembe kweli?

Haya huyu nae Janet sharti kuu aliambiwa azae akifika 50 net!

Michael hakuna kuishi na mwanamke!

P.Didy hakuna kuoa kamwe!

Itakuwa wana mavitu mengi tu ya siri tena ukute mabaya zaidi ya tunayojua..
Hakuna kitu kama hicho. Miscarriage ni kawaida tu .Inategemeana.Asingezaa mngesemaa aisee Badunguuu
 
Hahahaha duh mkuu mbona una macho hivi?? Ataenda kulifanyia kazi hilo
 
Labda kwa kukusaidia kidogo ni kwamba Marilyn manroe alikuwa anatoka na jf kennedy raisi wa marekani, na piaonroe alifanya makoaa makubwa ya kiufundi kama walivyosema majasusi wa CIA, baada ya kutembea na fidel castro wakati huo uhusiano was marekani na Cuba ulikuwa mbaya sana kiasi kwamba nusu vizuke vita vya tatu vya dunia kwani urusi walipeleka makombora ya nyuklia ambayo yalikuwa yana uwezo wa kuibafuta Florida na Miami take katika uso wa dunia, ukiondoa hapo cia walishamuonya monroe kwa kuwa na uhusiano na watu matajiri na maarufu wa wakati huo ikashindikana, kwani kiusalama isingekuwa jambo bora kwa raisi wa marekani ku share mapenzi na watu tofauti tofauti wengi wao walikuwa wanajua fika uhusiano was Monroe na jf Kennedy, hivyo majasusi wa CIA walimuua kwa kumwekea sumu. Hivyo alikutwa amekufa, na haya mambo wenyewe cia wali release kwenye intelligence revew report am bazo wanazitoaga kila baada ya muda Fulani na Hugo jasusi aliwahi kikili adharani kama yeye kwa mkono wake alihusika na wakati anakili habari hizi alikuwa keshakuwa mzee was miaka 80 na sina uhakika kama bado yuko hai ni kama miaka mitatu iliyopita.
Hata yeyey kwa mtililiko wa mahusiano yake, it means alikuwa Jasusi pia
 
Aisee...nilishasikia hii kitu

Lakini bora church tunafundishwa Upendo na kumcha Mungu!...especially Catholic ni Kanisa lisilokuwa na complications kabisa!
ni kweli hizi dini zina mafundisho mazuri tu ambayo yana make sense kwa mtu mwenye sound mind,
lakini nyuma ya pazia watu wanafanya yao kupitia kivuli cha dini,
kuna watu wanaamini wapo duniani kutawala watu wengine na kila kilichomo,dini zina siri nyingi sana na hivi vitabu vya dini vina contradictions nyingi tatizo huu uzi ni public wafia dini hawataki kuona dini zao zinakosolewa,vatican ina siri nyingi sana,jaribu kusoma about 'the black pope'.
 
Back
Top Bottom