Unajua bro kuna watu wanahangaika na mambo makubwa yasiyo kwenye wigo wa uwezo wao wakati mambo madogo madogo bado hawajayamudu...mshauri tu awaze kwanza mfano mkao wa chura ni amesimama, amechuchumaa, mapozi ama pushup kisha aendelee na utafiti akomae taratibu!kwani kwenye hiyo mijadala unayosema umesoma mitandaoni wanasema kauliwa na nani???
uka sawa na habari alizotoa huyo Jasusi
ila pia alikuwa na siri alizotonywa na Kennedy.
Marilyn Monroe 'murdered by CIA to stop her exposing Roswell UFO truth JFK told to her'
Kadada kalikuwa kazuri hadi raha...sema na cocaine kalikuwa kanajioverdose

Fafanua kidogo hapoFreemason na kampuni ya coca cola.
Huenda ndio maana hawakumuacha.
ndio maana Fidel aliwai mtambia JK kwamba yeye hata akiwa anahutubia anakuwaga free hata bullet proof havai na anamaliza salama kabisa teh teh tehVolume 7 kuhusu kuuawa kwa Kennedy ilikuwa iwekwe wazi October 26 mwaka huu. Bahati mbaya nayo imetoweka CIA hq. Hivyo hatuwezi kujua nani alimwua huyu binti. Lakini alikuwa mchepuko wa mzee na alikuwa loose manake yasemekana pia aliwahi kumgawia tunda Fidel Castro.
Hivyo ikaonekana anaweza kuwa agent wa Fidel.....kuna theories nyingi sana.
Cocacola tena? Serereka sasaFreemason na kampuni ya coca cola.
kuna nadharia nyingi amabzo ni tata.kwani kwenye hiyo mijadala unayosema umesoma mitandaoni wanasema kauliwa na nani???
out of topic!Unajua bro kuna watu wanahangaika na mambo makubwa yasiyo kwenye wigo wa uwezo wao wakati mambo madogo madogo bado hawajayamudu...mshauri tu awaze kwanza mfano mkao wa chura ni amesimama, amechuchumaa, mapozi ama pushup kisha aendelee na utafiti akomae taratibu!
So hujawahi kumsikia?Ningepata kahistoria make ngefurahi sana..
Why is she so famous
Hilo gazeti halina ukweli wowotemkuu alijikill mwenyewe hizo nyingine ni conspiracy theory tuu
vizuri huwa havidumu daima shida vitaletewa!Kadada kalikuwa kazuri hadi raha...sema na cocaine kalikuwa kanajioverdose