Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

your mom,your wife,your sisters know me better.

Ni kweli....Tupo na kichaa hapa...

Mtu mwenye akili timamu hata ya kupapanua mambo madogo ya kimaisha hawezi kuandika uliyoyaandika...

BTW, mambo uliyoyaandika nimezoe kuyasikia kwenye vijiwe vya kahawa, makambi ya Wasabato na watu walipigika kimaisha....
 
Sasa hapo kuna shida gani..?? Black pope ni jina la utani kwasababu mbili kuu....(Ikiwa wewe ni mkatoliki utanielewa)
SG (Superior General) anaitwa Black pope kwa kuwa kasula anayovaa ni nyeusi while kasula ya Pope ni Nyeupe....

Sababu nyingine ya kuitwa Black Pope ni kuwa ananguvu kubwa ya kushauri(Kumshauri Baba Mtakatifu) hivyo watu walimfananisha kama kivuli cha Pope.....

Ndiposa majina hayo ya Utani (nick name) yalipoanzia...ila kiuhalisia hakuna mtu anayeitwa Black Pope au White Pope ....

Sasa kwa mtu msomi au mdadisi kuendeleq kushupaza shingo yake kuwa kuna kitu kinaitwa black pope lazima tuhoji kama anaakili timamu
 
Daaha alikuwa Mzurii sanaa yule mdada...!! Aliemuua sijui alitoa wapi ujasirii...
 
Sasa hapo kuna shida gani..?? Black pope ni jina la utani kwasababu mbili kuu....(Ikiwa wewe ni mkatoliki utanielewa)
SG (Superior General) anaitwa Black pope kwa kuwa kasula anayovaa ni nyeusi while kasula ya Pope ni Nyeupe....

Sababu nyingine ya kuitwa Black Pope ni kuwa ananguvu kubwa ya kushauri(Kumshauri Baba Mtakatifu) hivyo watu walimfananisha kama kivuli cha Pope.....

Ndiposa majina hayo ya Utani (nick name) yalipoanzia...ila kiuhalisia hakuna mtu anayeitwa Black Pope au White Pope ....

Sasa kwa mtu msomi au mdadisi kuendeleq kushupaza shingo yake kuwa kuna kitu kinaitwa black pope lazima tuhoji kama anaakili timamu
niliyemuwekea hiyo link aliuliza kama black pope inamaanisha mtu mweusi au vipi thus nikamuwekea ili aone black pope ni mtu gani na pia angetaka connection kati ya black pope na illuminati au vatican na illuminati ningemuwekea link(s) vile vile.
 
The Most Powerful Man In The World ? “The Black Pope” ?
 
niliyemuwekea hiyo link aliuliza kama black pope inamaanisha mtu mweusi au vipi thus nikamuwekea ili aone black pope ni mtu gani na pia angetaka connection kati ya black pope na illuminati au vatican na illuminati ningemuwekea link(s) vile vile.

Kwanza maelezo niliyoyaandika umeyaelewa..??
 
Walio muua Abraham Lincolin, J. F. Kennedy ndio walio muua Marilyn Manroe
Dark societies US ziko nyingi sana. Ndio maana waliwapinga kwa nguvu zao zote wakatoliki wakati wanaanzisha taifa lao maana Freemasons walikuwa mbele kabisa wakiongoza....wazee wa mahabone. Hawafai kabisa
 
Otorongongo ndio maana nilikutag nilijua ukija hapa patanoga tuu..
Endelea..
 
Hkn sababu iliyowazi lkn imekaa km suicide coz walikuta ka overdose drugs in her room lying dead. Mengine hayo ni propaganda
 
ALIKUA DEPRESSED KICHAA KILIMUANZA HIVYO AKITUMIA MADAWA MAKALI YA KUTULIZA AKILI NA YA USINGIZI
ALIFARIKI KUTOKANA NA OVER DOSE YA DAWA ZA USINGIZI NA PIAN KILLWE
HAKUULIWA NA MTU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom