Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
aisee.....
unataka kusema alikuwa mwanachama wa vyama vya siriAlikuwa possessed na demons akacommit suicede she sold her soul to devil
Mkuu mbona unachanga sukari na chumvi?
Ina maana Hollywood celebs wote ni Illuminati?Holywood ni yao for that reasons hawezi kosa kuwa member wa hizo Society
most of them,Ina maana Hollywood celebs wote ni Illuminati?
Tufanye mimi ndiye niliyemuua...na nimekiri, nipeleke mahakamani kesho!out of topic!
Ila kwa Beyonce naamini asee..she sold her soul to them!most of them,
illuminatti wana recruit watu wenye mvuto kwa public kupitia kazi/talents/ujuzi/akili zao,bey na jigga ni watu wataoendelea ku trend ktk kazi zao hadi wafe.Ila kwa Beyonce naamini asee..she sold her soul to them!
Sio kwa kupapatikiwa huku na walimwengu!....hata mi kajamba nani nampenda!
Ndo hivyo mkuu report za kiintelijesia zilivyotaarifu umma baada ya kifo chake hayo mengine nawaachia wao.Hilo gazeti halina ukweli wowote
alaa kumbe hilo jina ni la kike? kuna song moja la Ace MC akiwataja mastaa wote wa cinema akiwepo Marilyn Monroe
hahahaIla kwa Beyonce naamini asee..she sold her soul to them!
Sio kwa kupapatikiwa huku na walimwengu!....hata mi kajamba nani nampenda!



Ila wakikiuka masharti si inakula kwao?illuminatti wana recruit watu wenye mvuto kwa public kupitia kazi/talents/ujuzi/akili zao,bey na jigga ni watu wataoendelea ku trend ktk kazi zao hadi wafe.
tafuta documentary za eminem na mkataba wake wa illuminant, utamuonea huruma yule jamaa....Ila wakikiuka masharti si inakula kwao?
Hivi huwaga wanapewa masharti gani kwa mfano?
Maana huku Africa mpaka uue damu yako but kule mi naona wanadunda tu fresh!
Please mkuu nihighlight kidogo niko tough sana ntatafuta hiyo doc nikitulia!tafuta documentary za eminem na mkataba wake wa illuminant, utamuonea huruma yule jamaa....
aliingia kichwa kichwa sasa hivi anajuta, hata kwenye mistari ya nyimbo zake amekuwa analalamika sana.
Mkuu uko sahihi! Ni drug overdose ! Nahisi alidhani siku moja angeweza kuchukua nafasi ya Jackie, lakini haikuwa hivyo. Ile siku alipomwimbia Rais Kennedy "Happy birthday, Mr. President" alionyesha fika hisia alizokuwa nazo. Ni mawazo yangu tu.Nadhani una jibu lako tayari. Wanadamu tuna asili ya ubishi, ujuaji, uchizi na fitna. Kuhusu kifo chake inategemea ni upande gani unakuvutia au umekuvutia katika kusoma na kusikia kutoka vyanzo mbalimbali.
Drug overdose ndo ripoti ilivyosema ila kama nilivyokwishasema hapo juu kuhusu ujuaji na ubishi, baadhi ya watu wanaamini kaka mtu na mdogo mtu walihusika kufanya/kuratibu mauaji yake.