Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Yafuatayo ni mahojiano kati ya Jimmy Marrs na James Files - muuaji wa JF Kennedy.. swali (Q) ameuliza Jimmy na Jibu (A) ametoa James Files

Q- Just to interject, , was it the Kennedy’s or the mob that hit Marilyn?

A- The mob hit her, but they had done, they did it on the request of the Kennedys
 
Mchepuko wa rais anakuwaje tishio kwa usalama wa Taifa?
Usimeze kila kilichoandikwa..
Tuliza akili kitafakari kwanza..

Baada ya kifo cha JFK viliandikwa vitabu maelfu kadhaa..
Na vyote vikiwa kwenye 'nadharia za njama - conspiracy theories'.
Ni jukumu lako kutafuta ukweli..
 
Yafuatayo ni mahojiano kati ya Jimmy Marrs na James Files - muuaji wa JF Kennedy.. swali (Q) ameuliza Jimmy na Jibu (A) ametoa James Files

Q- Just to interject, , was it the Kennedy’s or the mob that hit Marilyn?

A- The mob hit her, but they had done, they did it on the request of the Kennedys
Ni wapi waliwahi kuthibitisha kuwa James Files alimuua JFK naomba link
 
Nadhani kuna umuhimu wa kujuzana nini kilikuwa kinaendelea USA kipindi hicho..
Kuna maandiko mengi ya Udaku ila kiukweli JFK mwenyewe alikuwa disaster, hakuweza kuongoza nchi, hakujua vipaumbele vya makundi mbalimbali katika nchi na hakuweza kujiongoza mwenyewe..

Kulikuwa na operesheni kibao zilizokuwa zikiendelea kusini mashariki mwa Asia na yeye wala hakuzifahamu, mafia na CIA + FBI walikuwa 'wameoana' na yeye hakujua.. hata tu kuuawa kwake ilikuwa sehemu ya ubishi wake pamoja na kuwa alizingua sana kwenye 'jaribio la mapinduzi Cuba - lililokuja kuitwa Bay of pigs invasion'.
 
'Waliwahi' - kina nani hao unaowaulizia?
1. Vyombo vya habari?
2. Vyombo vya usalama?
3. Mafia?
4. James Files mwenyewe?
5. Mashuhuda waliokuwa Delay Plaza?
E.c.t

Mtaje unayemtaka na nitakwambia msimamo wake ni upi!
Ni wapi waliwahi kuthibitisha kuwa James Files alimuua JFK naomba link
 
Nimekuuliza hivyo kwasababu kuna interested parties nyingi na kila moja ina maelezo yake kwa interest zake..

As for James Files, kuna vitabu na makala.
Ila kusoma alichoelezea mwenyewe - google 'JFK assassin James Files UNEDITED interview' ..
Interview hii ipo kwa video -youtube na kwa maandishi...
Pambana
 
16f96bc01b29cb167ca89f85ab2d39b5.jpg
niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
Nyota tu
 
Marilyn Monroe, aliuliwa na Illuminati. Vifo vinavyotokana na illuminati, huwa ni vya kujinyonga, au drugs overdose. Lakini hasa huwa suicide. Marilyn, alikuwa na wapenzi wengi sana, tena wenyewe majini makubwa. Watu kama Jf Kennedy, Frank Sinatra, maofisa wakubwa katika vyomba vya upelelezi vya Marekani. Vile vile, Marilyn alikuwa ni member wa kundi la Illuminati. Siku tatu kabla ya kukutwa amejiuwa kwa kuchanganya drugs na pombe, alitembelewa na kasisi nyumbani kwake, akitahadharishwa kuhusu maisha yake jinsi yasivyompa utukufu Mungu, na kuambiwa ampokee Yesu maishani mwake. Lakini yeye alimjibu kuwa " potelea mbali wewe na huyo Yesu wako sina haja nae." Baada ya Siku saba, alikutwa ameoza kitandani kwa vile alikuwa akiishi peke yake.
Hilo la kutembelewa na Kasisi na kukutwa kaoza ni uongo mtupu. Acha kutudanganya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom