Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Please mkuu nihighlight kidogo niko tough sana ntatafuta hiyo doc nikitulia!

Only napenda kujuaga maagano/mikataba yao!

Eminem aliambiwaje?
mikataba yao na maagano sijui aisee sijawai fatilia ila hasa hasa ambayo maCeleb wengi huisema ni kuuza nafsi zao..."sold their soul to the Devil"

kuna mambo mengi huyafanya kabla ya kuingia kwenye hilo chama, na nafkiri wanakiwaga na maagano tofauti kulingana na celeb mwenyewe, mfn wakina MJ, CELINE, RIHANNA na WHITNEY ukiangalia story zao ziko tofauti....hasa hao ambao wameshakufa utaona kila mtu anailalamikia hiyo society kwa mazingira yake na jinsi alivyoishi chini ya sheria zao,

wanavyoingia kwenye hilo chama kutaka kuendelea kutrend na kuingiza ela wanafurahi ila wanapoona hakuna cha maana wala ziada ndio huwa wanalialia na kutia huruma, aiseeee....!!!
 
16f96bc01b29cb167ca89f85ab2d39b5.jpg
niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
 
mikataba yao na maagano sijui aisee sijawai fatilia ila hasa hasa ambayo maCeleb wengi huisema ni kuuza nafsi zao..."sold their soul to the Devil"

kuna mambo mengi huyafanya kabla ya kuingia kwenye hilo chama, na nafkiri wanakiwaga na maagano tofauti kulingana na celeb mwenyewe, mfn wakina MJ, CELINE, RIHANNA na WHITNEY ukiangalia story zao ziko tofauti....hasa hao ambao wameshakufa utaona kila mtu anailalamikia hiyo society kwa mazingira yake na jinsi alivyoishi chini ya sheria zao,

wanavyoingia kwenye hilo chama kutaka kuendelea kutrend na kuingiza ela wanafurahi ila wanapoona hakuna cha maana wala ziada ndio huwa wanalialia na kutia huruma, aiseeee....!!!
Mi nahisi itakuwa ni zile story za uzae mtoto ukiwa na miaka Fulani, kula na aina ya mavazi...hawa celebs huwaga wanapenda story za miscarriage ukute wanatoaga kafara sana

Beyonce kapata 5 miscarriage kiutani utani! Hivi hospital za Us zilivyo makini unapoteza mtoto kizembe kweli?

Haya huyu nae Janet sharti kuu aliambiwa azae akifika 50 net!

Michael hakuna kuishi na mwanamke!

P.Didy hakuna kuoa kamwe!

Itakuwa wana mavitu mengi tu ya siri tena ukute mabaya zaidi ya tunayojua..
 
Yes, yote hayo yanaweza kuwa masharti yao....maisha yao yamejaa utata mtupu.
 
Ila wakikiuka masharti si inakula kwao?
absolutely!
~ lengo lao kuu ni kutawala dunia na kila kilichomo through 'new world order' na moja kati ya 'tools' za ku-propagate hiyo NWO ni culture that's why wasanii influential celebrities wanatumika sana.
~wakishaona unawafaa wanaku-approach ukikubali wanakupa fame,money na mambo kama hayo ili wakutumie,ukikataa wanakukill epecially kama wanaona we ni threat katika mission zao eg. bob marley ila kama sio threat kivile wanaku frustrate tu kimaisha na kukufilisi eg mike tyson,dmx
Hivi huwaga wanapewa masharti gani kwa mfano?
siri! ukiwa member ni lazima utunze siri zao at any cost ukishindwa hilo au ukiwa expose 'death penalty' inakuhusu eg. michael jackson,2pac shakur,kanumba.
Maana huku Africa mpaka uue damu yako but kule mi naona wanadunda tu fresh!
wanauana freshi tu katika stage ya 'initiation' sema tu wanafanya siri sana na wanatengeneza mazingira vifo vionekane natural deaths,ila ukiwa na ma degree mengi ya ushetani sio lazima uue blood.
 
absolutely!
~ lengo lao kuu ni kutawala dunia na kila kilichomo through 'new world order' na moja kati ya 'tools' za ku-propagate hiyo NWO ni culture that's why wasanii influential celebrities wanatumika sana.
~wakishaona unawafaa wanaku-approach ukikubali wanakupa fame,money na mambo kama hayo ili wakutumie,ukikataa wanakukill epecially kama wanaona we ni threat katika mission zao eg. bob marley ila kama sio threat kivile wanaku frustrate tu kimaisha na kukufilisi eg mike tyson,dmx

siri! ukiwa member ni lazima utunze siri zao at any cost ukishindwa hilo au ukiwa expose 'death penalty' inakuhusu eg. michael jackson,2pac shakur,kanumba.

wanauana freshi tu katika stage ya 'initiation' sema tu wanafanya siri sana na wanatengeneza mazingira vifo vionekane natural deaths,ila ukiwa na ma degree mengi ya ushetani sio lazima uue blood.
Asante mkuu...umenifungua asee daah!

Na culture ina influence kubwa mfano baadhi ya mafans wa MJ wamejiedit wamekuwa ka yy

Hivi ile salamu ya Jigga inamaanisha nini? Si kwa kukunja vidole kule... mi hata siwezi
 
Back
Top Bottom