Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Hapana mkuu...

Ile nyingine dizain kama vidole viwili vya kati kavikunja, gumba, kinachofuata na cha mwisho kaviachia!

Niliona kwenye tuzo za AMMA akifanya hivyo...duuh nilichoka!
illuminati-symbols-obama.jpeg
pope-francis-horned-hand-signal.jpeg

inaitwa 'mano cornuto' au horned hand,sasa ona watu wenyewe wanaotumia hizo satanic signatures unaweza kudhani ni 'swag' tu ila uhalisia wake hatari sana.
 
16f96bc01b29cb167ca89f85ab2d39b5.jpg
niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
Urembo bila kichuguu ni sawa na gari kutembea na tyre tatu.
 
Nadharia ziko nyingi...ila kuna moja nilisoma mahali wanadai CIA ndo walimtenda ila wakaifanya ionekane kama overdose kwa sababu alikua tayari anajulikana ni teja
 
Na nahisi nalo ni sharti...utaona wabongo wanaiga kusalimia hivyo

Ila MJ alikuwa hasalimii hivyo ye vidole viwili mean " peace" or nayo ina utata mkuu?
hiyo vidole viwili nayo ni walewale tu mkuu ni 'code' za hao mashetani,ila MJ aliacha kutumia baada ya kuachana nao,2pac nae alivyoachana nao akabuni ya kwake 'W' means ,'Westcoast'.
 
hiyo vidole viwili nayo ni walewale tu mkuu ni 'code' za hao mashetani,ila MJ aliacha kutumia baada ya kuachana nao,2pac nae alivyoachana nao akabuni ya kwake 'W' means ,'Westcoast'.
Duuuh!

2pac alikuwa anasalimia W or alikuwa anaitumiaje?
 
16f96bc01b29cb167ca89f85ab2d39b5.jpg
niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
Tatizo mmezoea chura zimejaa mavi
 
huyo ni papa wa vatican,kwa kifupi vatican inamilikiwa na illuminati popes wote wapo kwa ajili ya illuminati na wanatekeleza orders from them kupitia 'the black pope'.
Aisee...nilishasikia hii kitu

Lakini bora church tunafundishwa Upendo na kumcha Mungu!...especially Catholic ni Kanisa lisilokuwa na complications kabisa!
 
ndio maana Fidel aliwai mtambia JK kwamba yeye hata akiwa anahutubia anakuwaga free hata bullet proof havai na anamaliza salama kabisa teh teh teh
Fidel alikuwa na jeuri sana kumbe alikuwa anamdukua JK through Monroe.....aiseee..!!!

Yeah...as it is said.....once you sleep with a hooker you are sleeping with all the men she slept with.....JK and Fidel??!!!!
 
Back
Top Bottom