Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,211
Watu kama wewe ni kuwaignore tu .Kolo wew
Mnateseka sana leo utopolo .
Watu kama wewe ni kuwaignore tu .Kolo wew
Huna hojaWatu kama wewe ni kuwaignore tu .
Mnateseka sana leo utopolo .
Maneno ya mkosajiHuna hoja
Sibishani na mtu mwenye sura ngumu kama injini ya trekta.Babra acha matusi au umepanic?
Sibishani na mtu mwenye sura ngumu kama injini ya trekta.
Ujumbe wa Clatous Chama kwa Wanasimba. #NguvuMoja https://t.co/kr0tXlem2JMimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije akawa yule kijana wa wydad
Tangia mchomolewe mwiko uko nyuma akili zimewaruka
Kumbe mamluki wanajulikana kwa kila mshabiki wa Simba.Simba aina shabiki bwege bwege kama wewe.
Nadhani bwana mkubwa Kolo ulimaanisha haina, na sio aina. Just joking Mtani. Hahahaa.Simba aina shabiki bwege bwege kama wewe.
Simba aina shabiki bwege bwege kama wewe.
Anza na Bumbuli na manara maana tokea dunia iumbwe sijawah kuwaona wakitema yai popote pale .Mfundisheni msemaji wenu English ya kuwahoji wageni......refer interview yake na Chama leo
Kwamba Bumbuli na Manara ndiyo wanajua English ya kuhoji Wachezaji? Utopolo Bwana,wewe kujua English ya kwenye Dictionary ndiyo unajiona umeyapatia maisha 😂Mfundisheni msemaji wenu English ya kuwahoji wageni......refer interview yake na Chama leo
Na hata yeye mwenyewe anayekejeli English ya wengine,aweke hapa Clip yake.Utopolo wamevurugwaAnza na Bumbuli na manara maana tokea dunia iumbwe sijawah kuwaona wakitema yai popote pale .
Pinga kwa hoja weka clip ambazo zinaonyesha Bumbuli anaongea fluent English plus shoga manara .
Hivi Mods hawaoni utoto wa aina hii uliovuka mstari wa ustaarabu na kuchukua hatua? Naudharau sana aina ya ushabiki wa Simba na Yanga nchini ambao unahimiza matusi tangu kwa mashabiki hadi baadhi ya viongozi.
Umesoma mada au umekurupuka? .kwa huu upuuzi unaoandika nani hajitambui kati yangu na wewe? mshamba wewEndelea kusubiri matokeo ya form four, ili kama umefeli uende kuwa hâta mfagiaji pale Kaunda.
Simba sc haina madogo wasiojitambua kama wewe.