Ni mchezaji gani mpya atakae tambulishwa kesho yanga sc?

Sibishani na mtu mwenye sura ngumu kama injini ya trekta.
20220114_221430.jpg
 
Endelea kusubiri matokeo ya form four, ili kama umefeli uende kuwa hâta mfagiaji pale Kaunda.

Simba sc haina madogo wasiojitambua kama wewe.
 
Mfundisheni msemaji wenu English ya kuwahoji wageni......refer interview yake na Chama leo
Anza na Bumbuli na manara maana tokea dunia iumbwe sijawah kuwaona wakitema yai popote pale .
Pinga kwa hoja weka clip ambazo zinaonyesha Bumbuli anaongea fluent English plus shoga manara .
 
Kwamba Bumbuli na Manara ndiyo wanajua English ya kuhoji Wachezaji? Utopolo Bwana,wewe kujua English ya kwenye Dictionary ndiyo unajiona umeyapatia maisha 😂
 
Anza na Bumbuli na manara maana tokea dunia iumbwe sijawah kuwaona wakitema yai popote pale .
Pinga kwa hoja weka clip ambazo zinaonyesha Bumbuli anaongea fluent English plus shoga manara .
Na hata yeye mwenyewe anayekejeli English ya wengine,aweke hapa Clip yake.Utopolo wamevurugwa
 
Endelea kusubiri matokeo ya form four, ili kama umefeli uende kuwa hâta mfagiaji pale Kaunda.

Simba sc haina madogo wasiojitambua kama wewe.
Umesoma mada au umekurupuka? .kwa huu upuuzi unaoandika nani hajitambui kati yangu na wewe? mshamba wew
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom