Kwa Picha ninayoiona ikisambaa Mkude akiwa na ukaribu na Skudu wenu, kwa nia njema tu nawaonya Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Uzuri ni kwamba huyu Mchezaji Jonas Gerald Mkude ninayeenda Kumjadili hapa ukiachia mbali kuwa ni Mdogo wangu Kiumri ila pia ni Rafiki yangu kama walivyo Marafiki zake Wakubwa akina Pazi na Stamili Mbonde wa Kijiweni Kawe ( Unga Unga Camp ) na akina Dula na Beka wa Maskani ya Ondoka Usemwe Tandale.

Kwanza nianze Kuwaambia wana Simba SC wote kuwa japo kwa miaka yake yote 13 aliyokuwa nasi Simba SC mlidhani Mkude Moyoni ni Simba SC ila kwa tunaomjua tulikuwa tukichekea pembeni tu kwani tulikuwa tunamjua kuwa kwa 100% Yeye ni mwana Yanga SC kama ilivyo kwa Mtani wangu Muha kutoka Mkoani Kigoma Kocha Selemani Abdallah Matola 'Veron' ila alikuwa Simba SC kws ajili ya Ajira ( Kazi ) tu na Kuaminika wakati kumbe ni Kirusi cha Jangwani.

Nirudi sasa katika Hoja Kuu ( ya Msingi ) ya Mada yangu husika. Yanga SC kuweni makini mno na Ukaribu huu unaoanza sasa kati ya huyu Mchezaji wenu mpya Skudu Makudubela na Jonas Mkude.

Kwanini nawaonya hivi hii leo?

Jonas Mkude ana tabia ya kupenda Kulazimisha Urafiki wa karibu na Wachezaji wa Kigeni nyota na wakubwa ( wanaowika mno ) katika Vilabu vyao ili awe Anawadalalia kwa Wanawake Maarufu na Mashangingi hapa Mjini kisha nae anapata chake cha Juu na Maisha yanaenda.

Kingine Jonas Mkude hupenda Kutengeneza Urafiki wa haraka na Wachezaji Nyota na walioko katika Media, Magazeti na Midomo ya Wapenda Soka ili atumike kirahisi Kuwaharibu Kitabia, kukosa Ufanisi Uwanjani, Wachezaji wazawa Rafiki zake humtumia katika Kuwafanyia Mambo ya Ushirikina Wachezaji hao na Viwango vyao Vishuke na hakika hufanikiwa mno kwa hili na Mbinu hii.

Mifano halisi

#1.

Ni Jonas Mkude huyu huyu ndiyo alipelekea Kukishusha kwa ghafla kilichokuwa Kiwango kikubwa cha Clatous Chama alipoanza kuwika Tanzania kwa Kumdalalia wa Wanawake wa Mjini maarufu Watano ( Kimaadili nawahifadhi ) huku akimtembeza Usiku Kucha katika Kumbi mbalimbali za Starehe Jijini Dar es Salaam na Kulewa mpaka Siku Moja Marehemu Zakaria Hanspoppe alipomtolea Uvivu kwa kumsema mbele ya Mzambia Mwenzake Rally Bwalya walipokuwa wakiishi katika Appointment Mikocheni iliyokuwa Jirani na Ofisi za Halotel huku aliyekuwa Msemaji wa Simba SC kipindi hicho Haji Manara nae akiwa Kapanga Ghorofa ya mbele yao.

Baada ya Kusemwa na Mtu asiyelea Ujinga na Upumbavu na Kapteni Mstaafu wa JWTZ Marehemu Zakaria Hanspoppe kweli Mchezaji Clatous Chama alibadilika na Kiwango chake taratibu kuanza Kurejea japo mpaka sasa Chama Kapunguza Dhambi zote ila ya Kuacha Kulewa ( Kugambeka ) Chakari imemshinda hadi leo labda tuwaombe akina Mwamposa na Mwacha kupitia Mahubiri yao wamuombee aache kama itawezekana kwa Jina la Yesu.

#2.

Hakuna ambaye hajui kuwa Historia ya Mchezaji Bernard Morisson tokea akiwa Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini ilikuwa ni ya Utukutu.

Hata hivyo baada tu ya Mchezaji Bernard Morisson kuhamia Simba SC kama kawaida yake Mharibifu wa Tabia za Wenzake Jonas Mkude akaanza kuwa na Urafiki nae uliochangia kwa 99% kuua Kiwango cha Bernard Morisson na kuanza kuwa na tabia mbaya kama Mchezaji nje ya Soka.

Na bahati nzuri ( Ushahidi wa Sauti na Video upo ) ambako Mchezaji Bernard Morisson Mwenyewe akikiri kuwa Jonas Mkude ndiyo Kamharibu kwa Kumfundisha Matusi, Kulewa na kupenda Mademu / Mbunye ( Dhambi ambayo GENTAMYCINE nakiri hata niombewe na Mitume na Manabii wote duniani ) kamwe sitoiacha kwakuwa hiyo ndiyo Starehe yangu Tukuka.

Niliwashangaa mno Yanga SC ( hasa Uongozi wao ) kwa Kumrejesha Kikosini Kwao Msimu ulioisha huku wakijua fika kuwa ni Nidhamu mbovu ndiyo ilimfanya Bernard Morisson aachwe na Simba SC na GENTAMYCINE nikikuwa na uhakika kuwa pale Yanga SC asingedumu na wangemuacha tu nao mwisho wa Msimu na imekuwa hivyo Kweli.

Bernard Morisson anatumia 85% ya Maisha yake Kukesha Beach Kidimbwi na Juliana Pub Mbezi Beach huku Nyakati zingine akixurula na Mpenzi wake Mbwia Unga DJ Mmoja maarufu wa Kike katika Media Kubwa nchini Tanzania aliyepanga Mbezi Maua katika Nyumba ya Rubani maarufu wa ATCL na akiwa na Bernard Morisson katika Gari yake IST Nyeusi iliyokwaruzwa kwaruzwa na inayochakaa kwa Kutooshwa muda wote utawaona wameshika Chupa za Bia na wakipiga Kelele kwa Mziki unaopigwa ndani ya Gari huku Bernard Morisson akiwa Kaitanua Miguu yake mbele ( katika Dashboard ) na muda Mwingine hutoa nje sehemu Dirishani sehemu ya Makalio yake huku akicheza hali ambayo Wengine huhisi ni kama vile huwa Anatujambia Kimakusudi na Kijanja akina GENTAMYCINE tunaokuwa Vijiweni Kitaani.

Namalizia kwa kusisitiza sisemi na sikatazi Mchezaji Jonas Mkude asiwe na Ukaribu na hawa Wachezaji Nyota na Wakubwa wa Kigeni wa Simba na Yanga ila awe anachunguzwa na ikiwezekana adhibitiwe asije akawa anawaharibu Kitabia na Kiufanisi wa Uwanjani kutokana na Historia yake kuwa mbaya kwa Nyota Wengine Wakubwa na Maarufu niliiwataja hapa juu katika Mifano yangu halisia miwili inayomhusu.

Mada zangu nyingi za kuhusu Yanga SC huwa napenda kuzianzisha kwa Utani ( hasa wa Simba na Yanga ) ili Jukwaa lichangamke na JamiiForums ichangamke ( kama ambavyo naenda kuianzisha nyingine hivi punde tu ) ila kwa hii Mada yangu ( Uzi wangu huu ) nawaomba mno wana Yanga SC ( hasa Viongozi ) muuchukulie very seriously kwani hapa GENTAMYCINE nimeandika kama Mdau mkubwa wa Michezo na Mwanamichezo Tukuka na siyo Mshabiki wa Safiri Mafungu Mafungu SC ( Simba SC ) sawa?

Otherwise nichukue pia Nafasi hii kuwatakia na kuwatakieni wana Yanga SC wote hapa JamiiForums na Kwingineko Kheri ya Siku ya Wananchi na naomba muisheherekee kwa Amani, Upendo na Utani ( Ucharurano ) wenye Tija.
 
Uzuri ni kwamba huyu Mchezaji Jonas Gerald Mkude ninayeenda Kumjadili hapa ukiachia mbali kuwa ni Mdogo wangu Kiumri ila pia ni Rafiki yangu kama walivyo Marafiki zake Wakubwa akina Pazi na Stamili Mbonde wa Kijiweni Kawe ( Unga kee kwa Amani, Upendo na Utani ( Ucharurano ) wenye Tija.
Leo umekuja na madini.
 
Huyu dj mbwia unga ndio yule alikuwaga efm afu akaenda wasafi? Jina lake linaishia na ..mie?
 
tuta take note

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kwa interview aliyoifanya, nionavyo mimi Skudu ni kijana anayejitambua, hapelekeshwi. Ndio maana akasema ukweli wake kwamba hajawahi kuvaa namba 6 ila rais wa klabu alimpigia simu kumuomba aitumie hiyo namba
 
Naona uzoefu wako Kwa alichokufanyia Mkude unakileta Kwa Skudu,ila usiwe na wasiwasi Mkude atabaki baasha wako siku zote
 
Back
Top Bottom