Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

Siku zote kitu chochote kikiadimika lazima thamani yake ipande, hii ni principle dunia nzima.

SASA, namba ya wanaume ni ndogo sana huku wanawake wakizidi kuongezeka kwa kasi kubwa kwa mantiki wanaume wanahitajika sana kuliko wanawake hivyo ni lazima thamani ya mwanaume iongezeke na thamani ya mwanamke ishuke. Sasa kwanini mwanaume ukae unalia lia unabembeleza bembeleza mwanamke?

Ukiona mwanamke haeleweki achana nae, akishafika miaka 30 na haoni wa kumuoa ndio atashika adabu.

HAKUNA KUBEMBELEZA MWANAMKE.

MCHUNGUZI HURU

naomba niongezee nyama kwa kuwa thamani yao ipo chini huwa wanafanya mambo ya ajabu
kujichubua
kutembea uchi
kuroga
kulia lia wanachezewa
wengi wao ni wategemezi
sasa kwa nini tuwabembeleze ?
 
naomba niongezee nyama kwa kuwa thamani yao ipo chini huwa wanafanya mambo ya ajabu
kujichubua
kutembea uchi
kuroga
kulia lia wanachezewa
wengi wao ni wategemezi
sasa kwa nini tuwabembeleze ?

Ww Acha maneno yako yasiokuwa na kichwa wala miguu
 
Siku zote kitu
chochote kikiadimika lazima thamani yake ipande, hii ni principle dunia
nzima.

SASA, namba ya wanaume ni ndogo sana huku wanawake wakizidi kuongezeka
kwa kasi kubwa kwa mantiki wanaume wanahitajika sana kuliko wanawake
hivyo ni lazima thamani ya mwanaume iongezeke na thamani ya mwanamke
ishuke. Sasa kwanini mwanaume ukae unalia lia unabembeleza bembeleza
mwanamke?

Ukiona mwanamke haeleweki achana nae, akishafika miaka 30 na haoni wa
kumuoa ndio atashika adabu.

HAKUNA KUBEMBELEZA MWANAMKE.

MCHUNGUZI HURU
hakika love connect ni ushahidi tosha kabisa
 
utakuwa mwanajeshi wewe......huna muda wa kubembeleza eeh unataka vya fasta fasta.....kwi kwi kwi kwi kwi
 
Kha.! yaani ninavyopenda papuchi.....hata miguu ntalamba. Aisee Jembe wacha mimi niendelee kubembeleza aisee.... Jamani [MENTION]Munkari [/MENTION]usinifanyie hivyo kijana wa mwanamke mwenzio hayo maneno tu [MENTION]Heaven on Earth [/MENTION] sijawai kumtokea miss chagga hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Kha.! yaani ninavyopenda papuchi.....hata miguu ntalamba. Aisee Jembe wacha mimi niendelee kubembeleza aisee.... Jamani Munkari usinifanyie hivyo kijana wa mwanamke mwenzio hayo maneno tu Heaven on Earth sijawai kumtokea miss chagga hata siku moja.

he h eheh haya yanatoka wapi? jamani nitokee basi hapa mkuu,...
 
he h eheh haya yanatoka wapi? jamani nitokee basi hapa mkuu,...

kwi.kwi.kwi...kijana hajui raha kutongoza. we ngoja kama watu JF hawataanza kumbembeleza yeye...kuna magereti sinkas huku....sasa leo wapi beibe..nikuletee lunch jamani.Pls
 
naamini ndoa si lazima katika maisha ya binadamu ..... sex unaweza pata kirahisi sana ... kupenda ni kazi ngumu sana.... naamini katika kupendwa na mtu yeyote na siwezi lazimisha ndoa eti kisa nina miaka arubaini no no no no never in ma life ....

mkuu alafu kila mwanamke an priority zake mwingine ndoa... mwingine kama mimi watoto na pesa hapa mtoto naweza pata mda wowote nikitaka na mtu yeyote naye mtaka no matter if he will take care of ma kids its his decision na siwezi mlazimisha kutunza damu yangu... kama anaona kuna umuhimu wa kutunza damu yake afanye kama amuna hell is a better place for him...
 
Back
Top Bottom