Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

Siku zote kitu chochote kikiadimika lazima thamani yake ipande, hii ni principle dunia nzima.

SASA, namba ya wanaume ni ndogo sana huku wanawake wakizidi kuongezeka kwa kasi kubwa kwa mantiki wanaume wanahitajika sana kuliko wanawake hivyo ni lazima thamani ya mwanaume iongezeke na thamani ya mwanamke ishuke. Sasa kwanini mwanaume ukae unalia lia unabembeleza bembeleza mwanamke?

Ukiona mwanamke haeleweki achana nae, akishafika miaka 30 na haoni wa kumuoa ndio atashika adabu.

HAKUNA KUBEMBELEZA MWANAMKE.

MCHUNGUZI HURU

Unajua thamani ni kitu gani ndugu?

Unapombembeleza thamani yako inaisha vipi?

Unahusishaje thamani ya mtu na kubembeleza?
 
Weeee sema tu kwa maandishi lakini moyoni wabembeleza kinyama teh teh teh!!
N:B Ukitaka jua mbio za kinyonga washa moto
 
maneno ya mkosaji buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

pole kwa kuvurugwa!mtabembeleza sana tu hata mkibaki wawili duniani khaaaaa!

Shangaa na wewe....raha ya mapenzi kubembelezana bhana khaaa

Ebana hizo dharau yani siye thamani yetu ipo chini ????? Tuombe radhi bana Kama uwezi kutubembeleza yupo mwenzio anaweza vizuri tu Mkuu

hahahahhh...usitufanyie hivyo kaka..uwezi jua labda kupitia wewe watapatikana mapacha wa kiume kama 4 hivi huoni utasaidia kupunguza tatizo.hebu amua basi.

Hebu waache kubembeleza tuone,,, wanawake wanaojitambua ni wachache na vichaa ni wengi.
mmesoma signature ya MCHUNGUZI HURU??...
 
Back
Top Bottom