kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
ila yana kiwiliwili
Aaa ahhh Kama cha kwako
ila yana kiwiliwili
kwi.kwi.kwi...kijana hajui raha kutongoza. we ngoja kama watu JF hawataanza kumbembeleza yeye...kuna magereti sinkas huku....sasa leo wapi beibe..nikuletee lunch jamani.Pls
elewa hivyo, kuwa hauna sifa ya kuimbiwa
njoo hapa break point ya makumbusho nipate na bia kabisa
naamini ndoa si lazima katika maisha ya binadamu ..... sex unaweza pata kirahisi sana ... kupenda ni kazi ngumu sana.... naamini katika kupendwa na mtu yeyote na siwezi lazimisha ndoa eti kisa nina miaka arubaini no no no no never in ma life ....
mkuu alafu kila mwanamke an priority zake mwingine ndoa... mwingine kama mimi watoto na pesa hapa mtoto naweza pata mda wowote nikitaka na mtu yeyote naye mtaka no matter if he will take care of ma kids its his decision na siwezi mlazimisha kutunza damu yangu... kama anaona kuna umuhimu wa kutunza damu yake afanye kama amuna hell is a better place for him...
Umesema bia mikono inatemeka hata kuandika nashindwa....kweli? yaani hapa nilipo naiangalia break point mbele yangu, ni kitendo cha kuvuka lami tu......
ha ha ha ha jamani vuka tu
ni sawa mkuu siwezi jitesa kujilazimishia mwanume eti kisa ni lazima niishi nae au watoto wapate mapenzi ya baba wakati baba lenyewe ni taira siwezi kwa kweli miss chagga mie ma baby they deserve batter na siyo shida ambayo ataleta mwananume ndaniuko radical sana kwenye issue ya mapenzi, badilisha mtazamo you deserve better, si kitu kizuri sana hapa duniani watoto kukosa mapenzi ya baba na mama.
mambo ya single parents yatokee tu kama ajari lakini kama hujafikia status hiyo unao muda wa kusahihisha mtazamo, mtoto/watoto wako ukifa ghafla bila kuwa na familia imara utamwachia dunia chungu.
nimeliona hili kwa wanawake wengi ambao wamezaa bila kuoana hujipofusha kwamba mtoto ni wake ukipenda kumsuport its okey if hauko interested its okey, haya ni makosa makubwa sana wanayafanya watu bila kujitambuwa.
Njoo PM...niko serious.
uko radical sana kwenye issue ya mapenzi, badilisha mtazamo you deserve better, si kitu kizuri sana hapa duniani watoto kukosa mapenzi ya baba na mama.
mambo ya single parents yatokee tu kama ajari lakini kama hujafikia status hiyo unao muda wa kusahihisha mtazamo, mtoto/watoto wako ukifa ghafla bila kuwa na familia imara utamwachia dunia chungu.
nimeliona hili kwa wanawake wengi ambao wamezaa bila kuoana hujipofusha kwamba mtoto ni wake ukipenda kumsuport its okey if hauko interested its okey, haya ni makosa makubwa sana wanayafanya watu bila kujitambuwa.
ni sawa mkuu siwezi jitesa kujilazimishia mwanume eti kisa ni lazima niishi nae au watoto wapate mapenzi ya baba wakati baba lenyewe ni taira siwezi kwa kweli miss chagga mie ma baby they deserve batter na siyo shida ambayo ataleta mwananume ndani
Mkuu ushakutana na janaume kama hili halijielewei, unamwambia damu yake anataka umbembeleze amuhudumie, to hell , heri ubaki single mama, maana atatesa mtoto tu kisaikolojia tu, baba ajitambue, sio mvaa suruali tu
labda hujanielewa na bado unarudia yaleyale, ukiwa umezaa na taahira basi ni matahira wawili walikutana with same vision and ideas mpaka mkafikia kuzaa, don't be a selfish to call them my baby inapendeza ukisema our baby, hakuna mzazi aliye bora kuliko mwenzake.
hii mambo ya independent woman inasambaratisha familia nyingi kwa viburi vya kipato cha mdada, sisemi watu walazimishwe kuwa pamoja lakini kama mama unalo jukumu la kuhakikisha beef zenu watoto hawageuki kuwa victim.
hii ndio maana mtoto anapewa surname ya baba yake na kabila automatically anakuwa kabila la baba yake, huu ndio ukweli either you take it or you leave it.
mmesoma signature ya MCHUNGUZI HURU??...
yaani wewe acha na ninavyojua kubembeleza hembu jaribu kwanza lol
bado naamini hali huwa haifiki hapo from no where, hata mbuyu ulianza kama mchicha, hapa mimi sipo kuwatetea wanaume wapuuzi wasiokuwa committed ila natoa uzoefu wangu wa maisha kwa yale ninayoyaona kwenye jamii.