Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

Huyo mtoa mada atakuwa kagombana na mpenzi/mke wake. Ushauri wangu kwa wanaume wenzangu tafadhali tuwabembeleze wapenzi/wake zetu, ni muhimu. Hakuna binadamu mtimilifu kwa hiyo kuna wakati unabeba mapungufu yake mnasonga mbele.
 
Siku zote kitu chochote kikiadimika lazima thamani yake ipande, hii ni principle dunia nzima.

SASA, namba ya wanaume ni ndogo sana huku wanawake wakizidi kuongezeka kwa kasi kubwa kwa mantiki wanaume wanahitajika sana kuliko wanawake hivyo ni lazima thamani ya mwanaume iongezeke na thamani ya mwanamke ishuke. Sasa kwanini mwanaume ukae unalia lia unabembeleza bembeleza mwanamke?

Ukiona mwanamke haeleweki achana nae, akishafika miaka 30 na haoni wa kumuoa ndio atashika adabu.

HAKUNA KUBEMBELEZA MWANAMKE.

MCHUNGUZI HURU

Maneno haya utuambie sisi mabibi wa above 60 yrs maana huku wanaume ni wachache sana wengi wa wanaume wanakufa mapema so idadi ya wanawake inaonekana ni kubwa kumbe hili kundi la 60 yrs and above ndio linaloongeza idadi hiyo. So kwa wasichana msiogope wanaume wapo wengi sana hakuna haja ya mtu kukutisha
 
Pole kaka unafikiri,kila mwanamke anafikiria kuolewa, au anaona kuolewa ni kitu cha maana sana, zaidi ya kujiongezea majukumu yasiyokuwa na shukrani na stress tu.sio kila mdada ambaye umri umekwenda amekosa mme wa kumuoa wengine wameamua kuwa single, na hawana shida ya kujibembeleza kwa wanaume, ukiona mwanamke anajibembeleza au kujikomba kwa mwanaume ujue hajitambui.
 
na kweli utakuta yeye ndo mbembelezaji mkubwa
 
Kubembeleza mwanamke Raha sana , japo wakati mwingine wengine wanazidisaha madeko na mashauzi.
 
Maneno haya utuambie sisi mabibi wa above 60 yrs maana huku wanaume ni wachache sana wengi wa wanaume wanakufa mapema so idadi ya wanawake inaonekana ni kubwa kumbe hili kundi la 60 yrs and above ndio linaloongeza idadi hiyo. So kwa wasichana msiogope wanaume wapo wengi sana hakuna haja ya mtu kukutisha

Amen bibi....nimekupenda bure....utasemaje wanaume wachache wakati mi shule nlizosoma zote idadi ya wanaume ilikuwa inazidi ile ya wanawake
 
Pole kaka unafikiri,kila mwanamke anafikiria kuolewa, au anaona kuolewa ni kitu cha maana sana, zaidi ya kujiongezea majukumu yasiyokuwa na shukrani na stress tu.sio kila mdada ambaye umri umekwenda amekosa mme wa kumuoa wengine wameamua kuwa single, na hawana shida ya kujibembeleza kwa wanaume, ukiona mwanamke anajibembeleza au kujikomba kwa mwanaume ujue hajitambui.

You can say it again honey
 
Back
Top Bottom