mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,069
- 2,820
hatutaki kuongezeka ili thamani yetu izidi kuwa juu zaidi
Mtasubiri sana, tizama karibu nyimbo zote zinazoimbwa wanaume ndo wanawalilia wanawake.Eg kama ningeweza kuzitudisha siku nyuma ataagoti ningepiga .......( sikumbuki mkaka gani aliimba) na nyingine nyiiiiingi za type iyo.