Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
we si umeolewa dear?Umejuajeee....???? Hivi hapa napita mtaa kwa mtaa....kanisa kwa kanisa kusaka mume
we si umeolewa dear?Umejuajeee....???? Hivi hapa napita mtaa kwa mtaa....kanisa kwa kanisa kusaka mume
Umejuajeee....???? Hivi hapa napita mtaa kwa mtaa....kanisa kwa kanisa kusaka mume
Hahahahah....mbavu zangu mie na kweli umetukomoa maana wote tulikuwa tunategemea kuolewa na wewe
Siku zote kitu chochote kikiadimika lazima thamani yake ipande, hii ni principle dunia nzima.
SASA, namba ya wanaume ni ndogo sana huku wanawake wakizidi kuongezeka kwa kasi kubwa kwa mantiki wanaume wanahitajika sana kuliko wanawake hivyo ni lazima thamani ya mwanaume iongezeke na thamani ya mwanamke ishuke. Sasa kwanini mwanaume ukae unalia lia unabembeleza bembeleza mwanamke?
Ukiona mwanamke haeleweki achana nae, akishafika miaka 30 na haoni wa kumuoa ndio atashika adabu.
HAKUNA KUBEMBELEZA MWANAMKE.
MCHUNGUZI HURU
nimekosa nini mkuu, wanawake ni wengi san huwezi kaa unabembeleza mtu ambaye thamani yake ipo chini
mwanamke? hata ubembeleze vipi, ikiwezekana uwe unamuimbia kabla ya kulala lakini utasikia unagongewa na wauza chips.
Ndio maana nimeamua kuishi bila mke ili kuwakomoa.
Ha ha ha.... yaani umefika sokoni umekuta wauza nyanya weeengi halafu muuzaji mmoja anakuzingua then unambembeleza, kweli?
tengua kauli kaka..thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko mnyama (mbuzi).hata kama utabaki peke yako duniani.mwanamke ni mwanamke tu..hauwezi kujilinganisha na mwanamke atasiku moja..
hahaha.... watakuwa wanakutamani sana mkuu maana tunahitajika sana
Ww unabembeleza kwa demu wako mpka unalia Nani asiyejua ???? Mtatubembeleza sana na kutunyenyekea ndio imeshakuwa tena ivyo wacha nimuamshe mwenzio aanze kunibembeleza
Mi si mjomba wako mkuu. Sisapoti michepuko, ila kwa wanawake wanaoringa wasibembelezwe waachwe wazeekee kwa baba zao
hivi ushawai kukaa chini na kufikiri tatizo lipo kwanani.au unaaza tu kulaumu wanawake wengi kuliko wanaume.kwa taarifa yako wanaume ndo chanzo kikubwa cha madiliko hayo...badiliken nyinyi ili muongezekeee
teh! teh! teh! teh! teh! kazi kweli shansariemaneno ya mkosaji buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hebu waache kubembeleza tuone,,, wanawake wanaojitambua ni wachache na vichaa ni wengi.
Yani na mie nataka kuolewa na ww ili niadithie unavyolia humu ndani