Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

Ni marufuku wanaume kubembeleza wanawake

U r right to think soo,

But most of tyme mahusiano mkaka ndio anayaanza bt tek it from me, mdada ndo hua mstari wa mbele kuhakikisha hayavunjiki, unles iwe mimba ya one night stand hapo pia mdada atajaribu kuomba ndoa, lengo kuu watoto wasihangaike kwa kukosa mapenzi ya baba,

Interesting part is that nowadays men tek us for granted na akishaona unajilazimisha mapenzi yaendelee atakufanya chochote inafikia point of no return dada anasema (Basii Nendaaaa nibaki na wanangu maana akingangana hata watoto wataharibikiwa so inabidi mdada aplay part yake na ya baba mambo yaende.

Hivyo ndo nnavyomaanisha, namimi ni muumini wa kua na watoto hata kumi wa baba mmoja bt if n only if mazingira yanaruhusu

vyema nimekusoma vizuri na nimekuelewa, wewe si muumini wa serikali mbili wala tatu wala ya nkataba, bali serikali moja.

inaonekana una experience ya kutosha kimahusiano je umeshaolewa? una mtoto/watoto?
 
sawa mkuu nimekuelewa nitajitahid badilisha mtazamo wangu

ni nzuri kwa afya yako na ya watoto pia, trust me our generation kuna kizazi hatari sana tunachokitengeza bila sisi wenyewe kujijuwa.

off topic, hivi flora na Emma mbasha watakuwa na excuse gani kwa mtoto wao? hii bad life memory.
 
Sijui kwa kwel watoto wao wameshapata shida kwenye akili tayar
 
mchunguzi mbona kama data zako haziko well organized kwaio wako humbembelezi su unataka kuwavuruga watu hapa
 
Sijui kwa kwel watoto wao wameshapata shida kwenye akili tayar

nadhani sasa unapata big picture, beef za wazazi tujiepushe zisiingie kwa watoto, kwa mfano una mtoto au watoto let the kid enjoy kwamba hawakuzaliwa na allies bali wanaye baba and he love's them.
 
nadhani sasa unapata big picture, beef za wazazi tujiepushe zisiingie kwa watoto, kwa mfano una mtoto au watoto let the kid enjoy kwamba hawakuzaliwa na allies bali wanaye baba and he love's them.

Asante mkuu umenisaidia. Siku njema
 
wewe mwenyewe ndo utakayeshuka thamani na usharobaro wako
 
Back
Top Bottom