Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,788
- 218,416
Hata ukirudiwa kwa hii tume CCM hakuna jipyaSasa ni wakati mzuri wa kuisambua Rubber Stamp Parliament ya Mwendazake ikiwezekana Uchaguzi urudiwe.
Nini kifanyike ili Tume ifanyiwe marekebisho ili tuingie kwenye Uchaguzi halafu ndio mchakato wa Katiba ufuatieHata ukirudiwa kwa hii tume CCM hakuna jipya
Naona hakupona vema pale indiaHujamsikia akimshambulia Mbowe ambaye hayupo Bungeni
Kwani wewe kaburi umemuwachia nani kulinda?Mambo ni mengi muda mchache...!
Huyu Mbowe atoe tu ushahidi kwani anataka nini. Eti mpaka aombwe Mfyuuu zake
Tuandamane tudai tume huru ya uchaguziNini kifanyike ili Tume ifanyiwe marekebisho ili tuingie kwenye Uchaguzi halafu ndio mchakato wa Katiba ufuatie
Fafanua Bro!roho ya mauti sijui haina macho ππ
Yani yule Izrael mtoa roho (roho ya mauti) haina macho.. Namaanisha haioni watu wa kutoa roho zaoFafanua Bro!
Hahaaa, wabaya wanadumu sana, ili majuto wayapate kabla ya umauti wao!Yani yule Izrael mtoa roho (roho ya mauti) haina macho.. Namaanisha haioni watu wa kutoa roho zao
Mambo ni mengi muda mchache...!
Huyu Mbowe atoe tu ushahidi kwani anataka nini. Eti mpaka aombwe Mfyuuu zake